Kuna docta nimepiga nae stori ananiambia inaenda mpaka siku 11 adi 18 toka atoke hedhiNo! Let's be real here. Mimba inaweza tunga kuanzia siku ya 9 tangu alipoingia hedhi. We call first day of menses Day One. So, let's count from day 1 tarehe 7 up to tarehe 15....we arrive to 9 days.
Ushauri: kapige nae ultra sound mjue mimba iliingia lini.
Na maanisha kuwa hiyo mimba yawezekana ilikuwepo na bado akaingia period kawaida... Ika wanasema pia si dalili nzuri ni dalili za mimba kutoka .. Na wanawake wengi hupata mimba lakini hutoka bila ya wao kujua .. Embu google utapata zaidi mkuuunamaanisha nn dada yangu
poa ndaoNa maanisha kuwa hiyo mimba yawezekana ilikuwepo na bado akaingia period kawaida... Ika wanasema pia si dalili nzuri ni dalili za mimba kutoka .. Na wanawake wengi hupata mimba lakini hutoka bila ya wao kujua .. Embu google utapata zaidi mkuu
Kaka eh,usiumize kichwa sana. Maana kuna mambo mawili hapawatoto ninao kijana wawil but si wake niliwapata kipindi cha ujana
asante mkuu kwa ushauri coz hili suala linaumiza akili yangu sana kulea kiumbe cha mtu inauma sana arifuKaka eh,usiumize kichwa sana. Maana kuna mambo mawili hapa
1.Wanaume wengi tunajidanganya.Kina mama ndo wanaojua watoto wao baba zao ni kina nani.
2.Navyojua mimi baada ya hedhi kuna siku kadhaa uki do nae ? lazima mimba inase. Na navyoongea hapa nimemzaa mtoro wa kike kwa mfumo huo na nina uhakika mi ndo nilikuwa nagonga mwezi huo. Nashauli kitu kimoja. Kama unaona hauna uhakika na vidhibiti huna. Tulia ajifungue ukafanye utaratibu wa DNA kimya kimya. Maana ukikuta mtoto ni wako ni mziki mwingine akikua na kuelezwa kwamba ulimkana
Refer mahubiri ya Gwajima,"WATOTO WA DAWA," mmemkaribisha shetani rasmi ndo migogoro inaanza hivyo hivyoNaishi na mwanamke, tumekaa 3 years hatujajaliwa mtoto. Mwezi wa pili alipata msiba akaenda kwao akiwa kule alinipigia amepata bibi mtaalam wa tiba asili anampa dawa mwez wa 3 tarehe 7 akaniambia yupo siku zake, akamaliza tarehe 11. Tarehe kumi na 5 akaja tukashiriki tendo kama kawaida tarehe 5 a kanuna kipimo kajipima akaniambia ni mjamzito. Dalili kwel niliziona nilikua nimesafiri nimerudi mm siamini kabisa huu ujauzito kwa hesabu zinagoma kabisa kweli.
Mtu anaweza toka siku zake mimba inase?
Ushauri jaman nisije bambikiwa WanaJF.
Lea mimba ila mwambie huyu mtoto akizaliwa d.n.a lzm kma Tiffa wa Zari uone atalipokeaje. Pia kama alianza siku tarehe 3 akaja 15 ni sawa kbs maana 15-3=12-4za period =8 so mlifanya siku ya 8 na siku ya 8 ndio yai linaanza kupevuka kama limewahi ila saana sana ya 9 linakuwa tyr na kwa siku ya 8-13 ni mtoto wa kike.Naishi na mwanamke, tumekaa 3 years hatujajaliwa mtoto. Mwezi wa pili alipata msiba akaenda kwao akiwa kule alinipigia amepata bibi mtaalam wa tiba asili anampa dawa mwez wa 3 tarehe 7 akaniambia yupo siku zake, akamaliza tarehe 11. Tarehe kumi na 5 akaja tukashiriki tendo kama kawaida tarehe 5 a kanuna kipimo kajipima akaniambia ni mjamzito. Dalili kwel niliziona nilikua nimesafiri nimerudi mm siamini kabisa huu ujauzito kwa hesabu zinagoma kabisa kweli.
Mtu anaweza toka siku zake mimba inase?
Ushauri jaman nisije bambikiwa WanaJF.
alianza 7 mkuu akaja 15 mwez wa 3 tarehe 4 mwez wa 4 "akapima akakuta ana mimba ya 2 weaksLea mimba ila mwambie huyu mtoto akizaliwa d.n.a lzm kma Tiffa wa Zari uone atalipokeaje. Pia kama alianza siku tarehe 3 akaja 15 ni sawa kbs maana 15-3=12-4za period =8 so mlifanya siku ya 8 na siku ya 8 ndio yai linaanza kupevuka kama limewahi ila saana sana ya 9 linakuwa tyr na kwa siku ya 8-13 ni mtoto wa kike.
Waliosoma sayansi nadhani mnanielewa kwenye xy na yx.
Hapo haswa ujui imenasa siku ya ngapi ila unajua ni mwezi upi its fine mtoto atazaliwa kila kitu kitakaa open.