Ushauri juu ya hii coz....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri juu ya hii coz.......

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kidotulotokordwak, Aug 21, 2012.

 1. Kidotulotokordwak

  Kidotulotokordwak JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau mi so mwenyeji humu,ila naomba ushauri juu ya hii coz ya bachelor of ed with ICT ya Udom,nimechaguliwa ila cjajua kama ni kusoma comp peke yake ili kuja kufundisha comp,au unapewa masomo ya kawaida ya kufundisha?je field yake inafanyikia kwenye shule zenye comp au hata shule ambazo hazna comp?kama kuna mdau anaifaham anifahamishe,nashukuru kwa wote mtakaonifahamisha
   
Loading...