Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,880
- Thread starter
-
- #21
Kuhusu hili hapana.Huyo mwanamke anayekubembeleza umuoe, mkioana atakupa mda akiona mambo yako bado
hajakwendea ipasavyo sio ajabu akakusababishia mauvi
Mungu ni mwingi wa kusamehe broRamadhan unaogopa dhambi ikimaliza unachuma madhambi tena?.[emoji1787] mkuu owa huyo kabla haja tokea mjanja akatangaza ndoa.
sawa mkuu ingia na miguu yote na viatu na kila kitu.Kuhusu hili hapana.
Nilianza mahusiano nae nikiwa chuo mwaka wa kwanza.
Shughuli yangu kubwa ilikuwa Uvuvi.
Kwa siku nilikuwa napata 1500/=
Kipato kikibwa ni 15000/= inategemea na siku..nilimuambia Mimi ni masikini sina kitu alinielewa na nilikuwa na shida sana.
Nashukuru Mungu kwa Sasa kipato changu kwa siku nikitoa gharama za Uendeshaji ni 60000/= na kuendelea
Nashukuru sanasawa mkuu ingia na miguu yote.
[emoji1787]ngoja nikushauri...
Kijana kataa ndoa, ndoa ndoano
Wanawake akili zenu mnazijua wenyewe, alimsadia akiamini kuna mda kadhaa mambo yatanyooka
sasa huo mda ambao uko kwenye kichwa cha huyo dada ukiisha ajieandae kijana wetu kuja kuomba
tena ushauri
Hakuna tofauti na shetani hakuambie "jihadhali na manabii wa uwongo".Hivi wewe unampenda mtu wako unakuja kuomba ushauri hapa kwa wapinga ndoa??
Mkuu futa huu uzi endelea na mipango yako ya kuboresha mahusiano yenu ili muoane.
Hamna mapenzi ya kweli kwa mwanamke hasa nyinyi manaoweka profile zakina rihana.Acha kuharibu mambo ya watu. Kama huamini kwenye mapenzi na ndoa ya kweli ni wewe.
Mwambie DHakuna tofauti na shetani hakuambie "jihadhali na manabii wa uwongo".
Unapinga wapinga ndoa huku ukiwa umebeba ajenda ya ya 50/50.
Wahubirieni wapinga ndoa kuwa waache upumbavu wao wa kupinga ndoa na muwakumbushe pia wataka 50/50 waache ushatani wanaouhubiri maana ndiyo umezaa kundi la wapinga ndoa.
Kwa hiyo pamoja na uzinzi wenu mnaofanya, mwezi Mtukufu ndio changamoto na sio nyie?asee wewe ni nyokoloHabari JF,
Kwa unyenyekevu mkubwa Nipo mbele yenu kuomba ushauri juu ya hili suala la Mimi na mpenzi Wangu.
Kwa upande wangu iko hivi.
Ninaishi na msichana ambae tupo kwenye uhusiano almost miezi 10 Sasa.
Kiukweli huyu manzi ananikubali sana, na Mimi pia namkubali kinyama. Hii ni kwasababu amenisaidia mambo mengi sana. Katika kutimiza ndoto zangu..(amenisaidia sana)
Sasa kwakuwa nakaa nae bila ndoa, Kuna changamoto ya mwezi mtukufu wa ramadhani. Mana kijamii na kidini sio sahihi kukaa kiunyumba bila ndoa..
Sasa huyu dada akasema yeye atahama ila mwezi ukiisha itabidi nihamie hapo alipopata chumba mana mama mwenye nyumba hawaelewani(udhaifu wa wanawake)) hivyo baada ya ramadhani itabidi tuendelee kukaa pamoja.
Sasa Mimi naomba ushauri
Nikae nae au tukae tofauti? ila Lengo letu kubwa ni kufunga ndoa au tuanze kupambana kuanzia chini mpaka juu.
Je, hustle za kupambana uku unaishi na msichana ambae utakuja kumuoa inaakaaje??
Naombeni ushauri wa kina mana nikimwambia tukae tofauti lazima aanze kulia..
Naomba ushauri!
Ninapokaa Kodi inaisha mwezi wa tano(40000) tutakapo Amia ambapo amelipa yeye Kodi ni (70000) amelipa miezi 4.
Ombi langu kubwa ni kama ifuatavyo.
Matika kutafuta maisha ni vizuri kukaa na msichana mkianza kutafuta pamoja??
Naomba msaada
Kaka mvumilie atarudi tu, mshakuwa mwili mmoja tayari. Uvumilivu muhimu.Habari JF,

Sawa Nimekuelewa mkuuKaka mvumilie atarudi tu, mshakuwa mwili mmoja tayari. Uvumilivu muhimu.
Unanita Mimi mzinzi!Kwa hiyo pamoja na uzinzi wenu mnaofanya, mwezi Mtukufu ndio changamoto na sio nyie?asee wewe ni nyokolo
[emoji2]dahKwa staili hii utaleta nyuzi nyingi za kuomba ushauri, Kila la kheri!
Ramdhan Kareem
Ngoja kuna yule mwenzio alienda hivyo hivyo mwisho wa siku kaleta uzi humu kamfuma manzi yake anapigwa miti hio 70 miezi minne anapanga unajua alipoitoa hio pesa? 😂Unanita Mimi mzinzi!
Vipi kuhusu wewe??
Nadhani background Yako unaijua vizuri Haina haja ya kudhihirisha wewe ni mzinzi kiasi gani.
Anyway Mimi mzinzi ila ninae zini nae mwisho wa siki ndio mke Wang vipi kuhusu wewe [emoji2]
afate ushauri huu hapa, simshauri kukaa kwa mwanamke ajiongeze kama ulivyoshauriKwaio mnachakatana kama kawaida, mwez mtukufu mnaeka pause ili mtubu af mrudi tena kwenye "sambi". Mambo ni faya🤣
Anyway, ushauri wa bure, mwanaume n kupambana, kama amelipia, huo mda na wewe tafta chumba chenye hadhi io io af muamie kwako.
Mwanaume ili uendeshe familia vzur inabd wewe ndo ushike usukani wa mambo kama makazi. La sivo kuna uwezekano atakuja kukusimanga huko mbeleni.
Yeye kulipa 70k maana yake anakuonyesha kua inabd u upgrade life lenu. Coz yawezekana hicho cha 70 n self af chako ndo ile la member.