Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,880
Sawa[emoji110]Kwan ndoa sh ngap.si hata mswala tu unampa.mbona mnfanya mambo magumu.ita wazee wake piga GOTI.maliza hata dk 15 haichkui
[emoji1787][emoji1787]Humu utaishia kukutana na comment kama "KATAA NDOA, NDOA NI UTAPELI,, shauri yako kama hauwezi kufanya maamuzi mwenyewe.
Sawa chief.Ngoja waje KINA Odinga na maneno zao.
Mwanetu Kuna vitu havitakiwi kuvuka hata mlango wenu.
Mtego huo, kuna mtu mmoja alisema usioe kabla hujajipang.Habari JF
Kwa unyenyekevu mkubwa Nipo mbele yenu kuomba ushauri juu ya hili suala la Mimi na mpenzi Wangu.
Kwa upande wangu Iko hivi.
Nina ishi na msichana ambae tupo kwenye uhusiano almost miezi 10 Sasa.
Kiukweli uyu manzi ananikubali sana, na Mimi pia namkubali kinyama. Hii ni kwasababu amenisaidia mambo mengi sana. Katika kutimiza ndoto zangu..(amenisaidia sana)
Sasa kwakuwa nakaaa nae bila ndoa, Kuna changamoto ya mwezi mtukufu wa ramadhani. Mana kijamii na kidini sio sahihi kukaa kiunyumba bila ndoa..
Sasa huyu dada akasema yeye atahama ila mwezi ukiisha itabidi nihamie hapo alipopata chumba mana mama mwenye nyumba hawaelewani(udhaifu wa wanawake)) hivyo baada ya ramadhani itabidi tuendelee kukaa pamoja.
Sasa Mimi naomba ushauri
Nikae nae au tukae tofauti? ila Lengo letu kubwa ni kufunga ndoa au tuanze kupambana kuanzia chini mpaka juu.
Je hustle za kupambana uku unaishi na msichana ambae utakuja kumuoa inaakaaje??
Naombeni ushauri wa kina mana nikimwambia tukae tofauti lazima aanze kulia..
Naomba ushauri!
Ninapokaa Kodi inaisha mwezi wa tano(40000) tutakapo Amia ambapo amelipa yeye Kodi ni (70000) amelipa miezi 4.
Ombi langu kubwa ni kama ifuatavyo.
Matika kutafuta maisha ni vizuri kukaa na msichana mkianza kutafuta pamoja??
Naomba msaada
Kwani uongo nyie wanawake ni materialistHivi wewe unampenda mtu wako unakuja kuomba ushauri hapa kwa wapinga ndoa??
Mkuu futa huu uzi endelea na mipango yako ya kuboresha mahusiano yenu ili muoane.
Huyo mwanamke anayekubembeleza umuoe, mkioana atakupa mda akiona mambo yako badoHabari JF
Kwa unyenyekevu mkubwa Nipo mbele yenu kuomba ushauri juu ya hili suala la Mimi na mpenzi Wangu.
Kwa upande wangu Iko hivi.
Nina ishi na msichana ambae tupo kwenye uhusiano almost miezi 10 Sasa.
Kiukweli uyu manzi ananikubali sana, na Mimi pia namkubali kinyama. Hii ni kwasababu amenisaidia mambo mengi sana. Katika kutimiza ndoto zangu..(amenisaidia sana)
Sasa kwakuwa nakaaa nae bila ndoa, Kuna changamoto ya mwezi mtukufu wa ramadhani. Mana kijamii na kidini sio sahihi kukaa kiunyumba bila ndoa..
Sasa huyu dada akasema yeye atahama ila mwezi ukiisha itabidi nihamie hapo alipopata chumba mana mama mwenye nyumba hawaelewani(udhaifu wa wanawake)) hivyo baada ya ramadhani itabidi tuendelee kukaa pamoja.
Sasa Mimi naomba ushauri
Nikae nae au tukae tofauti? ila Lengo letu kubwa ni kufunga ndoa au tuanze kupambana kuanzia chini mpaka juu.
Je hustle za kupambana uku unaishi na msichana ambae utakuja kumuoa inaakaaje??
Naombeni ushauri wa kina mana nikimwambia tukae tofauti lazima aanze kulia..
Naomba ushauri!
Ninapokaa Kodi inaisha mwezi wa tano(40000) tutakapo Amia ambapo amelipa yeye Kodi ni (70000) amelipa miezi 4.
Ombi langu kubwa ni kama ifuatavyo.
Matika kutafuta maisha ni vizuri kukaa na msichana mkianza kutafuta pamoja??
Naomba msaada
[emoji2]Kwani uongo nyie wanawake ni materialist
Mtu ndiye alimsaidia iweje amgeukee??Huyo mwanamke anayekubembeleza umuoe, mkioana atakupa mda akiona mambo yako bado
hajakwendea ipasavyo sio ajabu akakusababishia mauvi
Umeshamchoka wewe huna lolote unatusanifu tu hapaOmbi langu kubwa ni kama ifuatavyo.
Matika kutafuta maisha ni vizuri kukaa na msichana mkianza kutafuta pamoja??
Wanawake akili zenu mnazijua wenyewe, alimsadia akiamini kuna mda kadhaa mambo yatanyookaMtu ndiye alimsaidia iweje amgeukee??