Ushauri juu ya Energy saver- toyota vitz

Funge

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
581
165
WanaJF tafadhali naomba ushauri mwenu.Ninapenda kununua toyota Vitz cc 1000 ili kupunguza matumizi ya mafuta. Kwa mwnye uzoefu, ninaomba kujua ubora na efficiency katika matumizi ya mafuta pamoja na upatikaji wa spare parts.

,
 
Vitz huwa ni cc 900, matumizi ya mafuta ni safi sana wala usitie shaka, spea zipo nyingi tu kwenye maduda ya spea zilizokwishatumika (used). Ninaitumia ni mwaka wa tatu sasa sijawahi ona shida yoyote, swala ni utunzaji bifsi na kuijali gari yako kama unavyojijali.
 
Back
Top Bottom