Naombeni ushauri wakuu..
Nimepata scholarship ya kwenda kusoma China kwenye province mbili tofauti na nimepata course hizo mbili nahitaji kuconfirm kwenda course moja kati ya hizo (Biomedical Engineering & Food Science and biotechnology).
Ni ipi ina opportunities nyingi na pia ina nafasi kubwa kwenye ajira na hata kujiajiri pindi nimalizapo masomo na kurudi nchini?
Natanguliza shukran!![emoji120]
Sent using
Jamii Forums mobile app