Ushauri juu ya biashara za minadani

Ushauri juu ya biashara za minadani

Um_abraar

Member
Joined
Aug 4, 2025
Posts
5
Reaction score
10
Habari zenu wana JF.

Naombeni mnisaidie ushauri kwa wale mliowahi kufanya biashara katika minada mbali mbali hasa kwa Dsm mpaka Kibaha.

Nataka kuanza kuzungusha bidhaa kwenye minada je inalipa? Au ni bora nitafute meza tu sokoni?!

Na vipi kwenye minada utaratibu upoje pengine kuna kulipia ushuru? Na vipi utaratibu wa kupata meza au sehemu ya kuweka bidhaa na changamoto za huko ni zipi?

Naomba kuwasilisha.
 
Inategemea ni biashara gani unataka kufanya, lakini kwa uzoefu wangu minada haswa ya dar faida kidogo sana au hamna.
Kwanza watu wanategemea mnadani wapate vitu bei rahisi kupita uhalisia, pia wanaokuja minadani ni wanafunzi mama wa nyumbani na mahouse girl ambao pesa kwao ni tia maji tia maji. Usisahau wakazi wa dar upatikanaji wa bidhaa kwao ni rahisi sana maana wako karibu na masoko makubwa.
Kwa ushaur tu kama unataka biashara ya minada nenda mikoani nasikia inafanya vizuri ingawa me sijawahi kujaribu.
 
Nashkuru sana kwa ushauri mzuri.
 
  • Thanks
Reactions: naa
Inategemea ni biashara gani unataka kufanya, lakini kwa uzoefu wangu minada haswa ya dar faida kidogo sana au hamna.
Kwanza watu wanategemea mnadani wapate vitu bei rahisi kupita uhalisia, pia wanaokuja minadani ni wanafunzi mama wa nyumbani na mahouse girl ambao pesa kwao ni tia maji tia maji. Usisahau wakazi wa dar upatikanaji wa bidhaa kwao ni rahisi sana maana wako karibu na masoko makubwa.
Kwa ushaur tu kama unataka biashara ya minada nenda mikoani nasikia inafanya vizuri ingawa me sijawahi kujaribu.
Hakika hujakosea
 
Ingia machaka ya mikoani jipe miaka miwili kuendelea utakua mtu mwingine kabisa kiuchumi huoni hata azam tv anapumulia humo humo
 
Back
Top Bottom