Franky
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 2,272
- 2,858
Wasiliana na MalafyaleWakuu natafuta watoto wa nguruwe angalau miezi 2 au 3..mbegu nzuri.naweza pata wapi kwa bei nzuri.Shamba lipo Moro
Sent from my SM-G988B using JamiiForums mobile app

Dah maswali mengine. Kwani mkuu hujui kazi ya fridge ni nini? Mfano unadhani nyama ya kuku inakaa kwa muda gani kwenye fridge?Nyama ya nguruwe inakaa. Kwenye friji kwa muda gani