Babake mwanaidi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 641
- 695
mtoto ni wakwangu nauhakikaUnaweza kukuta jirani yako ndio baba mwanaidi
aisee huyu jamaa ananitafutia matatizo kiukweli nikithibitusha namtoa rohoPol3 Sana itakua ameshaliwa mke wako jamaaa
itabidi tuongee hili sualaMuulize mkeo unavyozidi kupoteza muda utakuta manyoya mkuu
sawa.ahsante kwa ushauriUshauri:- mkeo ndio anacho jamaa anachotaka. Ebu deal na mkeo acha kumfata jamaa huwez kujua labda mkeo ndio anamtaka.
inaumiza sana.yani kuna muda nikimwangalia wife natamani nimmeze maana naona kama ananisanifu hivi. ila kuna muda utafika nitachukua maamuzi magumu sana we subiriFanya utafiti, ukigundua tu kinachoendelea. Mchane makavu na ukiwa na ushahidi pia ikiwezekana mtandike.
Wife pia mpe kichapo baada ya kuhakiki.
Sina utani japo sijaoa ila uchungu wa mke unauma.
Alaah chief nin tena kimekusibu?Mi najuta kuoa.bora ningebakia singo boy tuu