dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,937
- 8,358
- Thread starter
-
- #21
Me mwenzako mwaka wa 4 ss yani ww hata tumiezi hakuna!! huh!
kuwa mvumilivu mkuu halafu mkubali kwa dhati.
Via safarini kumfuata niliyedumu naye miaka 4 na hatujaonana muda sn,tangu mwaka jana mwezi wa 8
Utakua umerogwa kijana.
Miaka minne yote mnachezeana tu au uko kwenye ndoa tayariMe mwenzako mwaka wa 4 ss yani ww hata tumiezi hakuna!! huh!
kuwa mvumilivu mkuu halafu mkubali kwa dhati.
Via safarini kumfuata niliyedumu naye miaka 4 na hatujaonana muda sn,tangu mwaka jana mwezi wa 8
pole mwaya... but from maelezo yako hujawah penda kwa dhati or just huna uvumilivu or wewe hujapata wa kukupenda vile you want to be treated. so learn kupenda kwa dhati don't give sex a priority. hyo miez 4-5 tengeneza urafiki kwanza..thn mengine yafuate
kumi tuu na una miaka 30! what a joke!
kumi tuu na una miaka 30! what a joke!
dah kwahiyo unamshauri aendelee na uasherati duh! God forbid, wadogo zetu wa sekondari watapona kweli ? `ila if you have slept with more than 8 different women your private parts are known as public parts no more private pumbu free zip nje theory
unakumbuka mfalme sulleiman alikuwa na wake na masuria wangapi?