Ushauri: Jinsi ya kuanza maisha ya kujitegemea

Ushauri: Jinsi ya kuanza maisha ya kujitegemea

😀😀😀
Anunue kwanza hiyo halafu akiwa anacheza ndio atapata akili anunue kipi tena bila shaka atanunua subwoofer ili aunganishe na ps4 ili asikie kelele vizuri
tena akiwa na fifa17 matatzo atasahau
 
Usinunue chochote kama mwezi hivi.
Ndo utajua cha muhimu ni kipi cha kununua.
Ila ningekuwa mimi ningenunua godoro,net,shuka,jiko,vyombo,ndoo na kopo la chooni,mswaki na dawa,mafuta na kondom.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Teh teh teh teh. .Jf ina mambo sana sio siri umenifanya nicheke kwa nguvu hadi watu wananishangaa
 
Wakuu,

Ndo kwanza naanza maisha mwenzenu, nimepanga chumba kimoja tu lakini changamoto niliyonayo hapa ni nini nianze kununua cha ndani?

Tushauriane wakuu
Godoro, jiko ,mchele ,unga.... vingine kama kitanda,meza,kiti vitafuata badae

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Nunua earphones kwanza mkuu, zitakusaidia kupotezea miguno ya majirani zako watakakuwa wananyanduana.
Ukisikia tu wemeanza sex Basi chukua earphones zako chomeka kwenye Simu usikilize muziki.Hii itakuzuia kupiga nyeto
 
Back
Top Bottom