Kweli mkuuGodoro...tena ununue lile imara maana vijana wakianza maisha huwa linatumika sana
Usinunue chochote kama mwezi hivi.
Ndo utajua cha muhimu ni kipi cha kununua.
Ila ningekuwa mimi ningenunua godoro,net,shuka,jiko,vyombo,ndoo na kopo la chooni,mswaki na dawa,mafuta na kondom.
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app

eti kondomUsinunue chochote kama mwezi hivi.
Ndo utajua cha muhimu ni kipi cha kununua.
Ila ningekuwa mimi ningenunua godoro,net,shuka,jiko,vyombo,ndoo na kopo la chooni,mswaki na dawa,mafuta na kondom.
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app

DahAnza na ps4
ps4 ndo yenyewe mkuu full kujiliwaza
Anunue kwanza hiyo halafu akiwa anacheza ndio atapata akili anunue kipi tena bila shaka atanunua subwoofer ili aunganishe na ps4 ili asikie kelele vizurips4 ndo yenyewe mkuu full kujiliwaza