Ndugu wana jf kuna msichana nimetokea kumpenda nikamweleza hisia zangu akanambia nimpe wiki Moja afikilie na leo ndo Siku ya kunipa jibu Langu; tatzo tangu ash hapokei simu yangu na waliomtaka wengi liliwakuta kama hilo Langu la kutopokea simu je huyu bint ana sabab zp za kuwa anafanya hiv? Ushaur wako
Sijapga cm baada ya wiki nilikuwa napga kila Sikh na nilikuwa nikiongea nae
Kwahiyo nisingepga cm?na je nn cha kufanya sasa
Mmeshamaliza masomo?Ndugu wana jf kuna msichana nimetokea kumpenda nikamweleza hisia zangu akanambia nimpe wiki Moja afikilie na leo ndo Siku ya kunipa jibu Langu; tatzo tangu ash hapokei simu yangu na waliomtaka wengi liliwakuta kama hilo Langu la kutopokea simu je huyu bint ana sabab zp za kuwa anafanya hiv? Ushaur wako
kosa la nne hilo
Utoto raha sana.