Ushauri jamani

Fb aliyeweka ni mkewe si yeye but alitoa status ktk wachangiaj kuja kuangalia mmjoa mwanamke kumfatilia ndo nikagundua ni mkewe kaweka picha zao na watoto

Whatever!Ila ujumbe umeupata. Vipi hijanijibu status yako kama umechange au...:behindsofa:
 

Hapa ndo napoyashangaa mapenzi ya siku hizi, embu nambie kwanza mna muda gani hadi unasema anakupenda tena kwa mkazo kabsa.
 
we achana nae tafuta mwengine .... una umri mdogo sana so haujapoteza, we endelea na maisha... shukuru umemjua mapema... maana jaama ana ngumu roho... maana kadanganya family yenu yote.... ungechelewa angekuambia sio mtanzania yy ni msauz au blackamerica ila amefika tanzania mdogo sana... hehehe.. be happy dont :crying: coz mawazo mengi ya huzuni huleta magonjwa
 

asante
 
Wala hakupendi huyo, alikuwa anakufanya mchepuko tuu, au angekuja kukupa mimba halafu ndio angekwambia ukweli.Dini ungebadilishwa uwe mke wa pili, achana nae!
 
unaumwa????, pole sana..
ndio ni mume wa mtu = achia ngazi
miaka 20, umri unaruhusu kuanza mahusiano mapya na mtu mwingine.

usichanganyikiwe = bado una nafasi
 
Pole mrembo, ila kila likuepukalo lina kheir na wewe, si kwambii nirahisi kumuachaa unae mpenda, Lakini lisobudi hutendwa, ww bado ni mdogo ndio kwanza safari ya maisha unaanza, Leo Huyu jamaa amekudanganya hivi kesho huweZi kujua atakwambia lipi jipyaa, usipoteze mda wako na mume wa mtu....
 
Kuna mawili hapa
Either jamaa yuko smart sana au wewe ulipofushwa na mapenzi hayo ya uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…