Ushauri jamani

Fb aliyeweka ni mkewe si yeye but alitoa status ktk wachangiaj kuja kuangalia mmjoa mwanamke kumfatilia ndo nikagundua ni mkewe kaweka picha zao na watoto
 
Tatizo bado nampenda na yeye ananipenda sana tena sana

Acha ubwege dogo. Hayo sio mapenzi, ni kupagawa na penzi. Ndo penzi lako la kwanza. Jipe nafasi nyingine. Kama anakupenda nenda ukawe mke wa pili na ulee watoto wake wawili uku ukizipiga na bi mkubwa.
 
Hakupend ndo sababu alikudanganya......angekuwa anakupenda angekuwa mkwel kwako....
 
Ni miaka miwili sasa mkuu but no way inabidi niachane nae tu
 
Fb aliyeweka ni mkewe si yeye but alitoa status ktk wachangiaj kuja kuangalia mmjoa mwanamke kumfatilia ndo nikagundua ni mkewe kaweka picha zao na watoto

Kizuri umeshaambiwa, ana watoto na mke. Kwa hiyo tumia akili yako nini ufanye. Usipoteze muda una 20. Asije akakuharibu na kukufungia fursa zingine.
 
Tatizo bado nampenda na yeye ananipenda sana tena sana
yani mpaka hapo bado unaona unapendwa.....?......atakupa mimba akukimbie ubaki kuangaika na mtoto.....tulia achana na huyo mme wa mtu atakuharibia maisha bure.....
 
u should leave him unless you want to be lied to and a second priority all your life coz alianza na uongo even the end will be the same. ps;if he loved you angeweka picha yako fb,wake up he's a player and you were just his playing field.
 
Thanx mummy!
 
Miss love acha utoto,umetoka kwenye broken family elimu yenyewe huna umeri 20 unataka mapenzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…