Ushauri jamani

Kumbe hata jina lake nilidanganywa nikajiona nimependwa nasiwezi achwaa..............................pole bahna wakina yahaya ni wengi hapa town tena mtupilie mbali uyoo kaa shombo la samaki anuke uko jalalani!

Asante nimeamini matapel wa mapenz wapo
 
mhm mapya mie najua wee unapenda vidume wanao hudumia na jamaa ana hudumia kisawa nikajua utampa ushauri wa kuendelea nae amchune

binti anahitaji penzi na si pesa .... kama ni pesa ningemwambia endelee kukata kiuno kisawasawa mpaka paeleweke
 
hahahha sawa mr chairman kimya kikizidi nahamia airtel lol

Teh!teh!teh! wewe tena jirani yangu, usiogope uko na mr chair man, itakuibukia huko huko kwa safe mood kama window xp!
 
Kama ulikua aujui mumy ndo ivyo wapo wengi tena sana na wanajua kutunza balaa mpaka wasema hapa yes ukija ngastuka ni too late hahahah!!
Yaani nisawa na mtoto akiwa nyumbani mwenye tabia nzuri kama yeye hakuna akitoka nje sasa mmmmmmmh mama yake akija kupewa habari kuwa mwanao anatabia chafu huwa mzazi anakuja juu, sasa ni kama huyo amekuonyesha mapenzi weee hadi basi sasa umekuja kuujua ukweli lazima itakuwia vigumu kuukubali kutokana na na alivyokua anakutreat vizuri.
So mumy you have to be careful there is a lot of Mayahaya in town.
Asante nimeamini matapel wa mapenz wapo
 

Amekuchoka na hakutaki ndo maana ameweka picha ya mkewe na wanawe FB ili ujue kuwa yeye ana familia. Pole lakini huo ndo ukweli, alishindwa kukuambia live kaona akupe ujumbe huko huko Fb. Vipi lakini status yako ilikuwaje FB?Au ndo zile 'In an open relationship with....' Kama vipi fanya fasta ubadili status yako mana daaah!!!
 

Thanx so much be blessed
 

Umemjua kwa muda gani? Ni kwamba umemparamia. Na yeye anakutumia. Kwanza kakudanganya kuhusu ndoa, watoto na dini pia. Kikubwa kaidanganya hadi familia yako. Cha kufanya, achana naye, mme wa mtu huyo, au kama uko tayari kuwa na mtu mwenye watoto wawili tayari, kila la kheri ila sikushauri hivyo. Una miaka ishirini, bado mdogo sana wewe!!Taratibu utapata wako. Huyo mtoe akilini, Ni mme wa mtu pia kawadanganya wote kwenye familia yako. HAFAI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…