Ushauri jamani

Ushauri jamani

Miss lover

Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
47
Reaction score
6
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 20 nina mpenz wangu ambaye nampenda sana, na yeye pia ananipenda sana na mpaka nyumbani wameshamjua, na ananihudumia kwa kila kitu ninachotaka. Tulipoanza mahusiano nilimuuliza kama kaoa akakataa ila akasema ana mtoto mmoja, sasa hivi juzi nimeingia fb nikakuta picha yake mkewe na watoto wao wawili, na ahadi yetu ni kufunga ndoa na kumbe dini alinidanganya yeye muislam mimi mkristo na alisema yeye mkristo nifanye nini jamani maana hapa nilipo hadi nimeumwa mwenzenu baada ya kujua ni mume wa mtu.
 
Sasa hapo ushauriwe nini?mbona kila kitu kiko wazi?
 
Kubali matokeo sababu ni mume wa mtu, ukimganda sana unatafuta matatizo.

Wanasema tahadhari kabla ya hatari
 
Mmh, point noted: Una miaka 20, kichwa panzi. Hutakosa wa kukufuta machozi hapa.
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 20 nina mpenz wangu ambaye nampenda sana, na yeye pia ananipenda sana na mpaka nyumbani wameshamjua, na ananihudumia kwa kila kitu ninachotaka. Tulipoanza mahusiano nilimuuliza kama kaoa akakataa ila akasema ana mtoto mmoja, sasa hivi juzi nimeingia fb nikakuta picha yake mkewe na watoto wao wawili, na ahad yetu ni kufunga ndoa na kumbe dini alinidanganya yeye muislam mimi mkristo na alisema yeye mkristo nifanye nini jamani maana hapa nilipo hadi nimeumwa mwenzenu baada ya kujua ni mume wa mtu

Hatamwacha mkewe kwa ajili yako. Labda ukubali kuwa mchepuko wake basi.
 
Mie ndio maana napenda mwanaume akiniambia anamke tena namkubar kirahc kuliko awa rika la kati waongo sanaa.....ushaur wang tafta mume wa mtu mawazo yote yataisha na utamsahau uyo mwongo wakoo
 
Mmmnh...Mkasa kama huo ulishawahi kunikuta...!

Wala sikuhitaji ushauri wa mtu....Nilimuacha papo hapo..!
 
mwambie hivi ....its over between me and you... and hell its a better place for you i mean him
 
  • Thanks
Reactions: Kbd
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 20 nina mpenz wangu ambaye nampenda sana, na yeye pia ananipenda sana na mpaka nyumbani wameshamjua, na ananihudumia kwa kila kitu ninachotaka. Tulipoanza mahusiano nilimuuliza kama kaoa akakataa ila akasema ana mtoto mmoja, sasa hivi juzi nimeingia fb nikakuta picha yake mkewe na watoto wao wawili, na ahad yetu ni kufunga ndoa na kumbe dini alinidanganya yeye muislam mimi mkristo na alisema yeye mkristo nifanye nini jamani maana hapa nilipo hadi nimeumwa mwenzenu baada ya kujua ni mume wa mtu

Dada waislam.wanaoa had wake wanne sasa unaumwa nin.kama.unampenda hiyo.inamaana kua uko tayar kua second.wife n.maelewano.yenu wewe mkeww na huyo bwana wako utakua huru
 
Back
Top Bottom