ladylady
Member
- Jan 28, 2009
- 40
- 19
Niko na rafiki yangu mmoja tuko naye mara nyingi sehemu ya kazi. Ana miaka 36 ni mdogo kwangu kidogo lkn amekuwa akiniambia kuwa tangu alipofika miaka 35 amekuwa akipenda kufanya tendo la ndoa kila siku hawezi kabisa kulala bila hilo.
Na hata kama mume wake hayupo nyumbani ni afadhali afanye masturbation kuliko alale hivyo.
Nimemwambia aingie jf aombe ushauri kwa dr. anasema aliwahi kuongea na doct akamwambia miaka 34-40 kwa mwanamke ni miaka ambayo inasumbua wanawake wengi. hili linaukweli? dr tusaidie .