Ushauri jamani

Kiukweli usipokua na msimamo dunia inaweza kukupeleka kokote kule hata jalalani na ukajishangaa umefikaje
'
Unatakiwa ujiulize unataka nini,wewe umepata wakukuoa,hautaki ndoa?
'
Ulieachana nae unataka akuharibie mipango yako ya maisha?
'
Acha utoto!
 

Siku hizi mkuu ipo sana. Mnapandishana altareni kwa sababu tu mmepata wa kuoa na kuolewa naye.
Uliyempenda mara nyingi vigezo vya kumpandisha altareni,vinakuwa havitoshi.. Pengine hapendwi na jamaa zako,au elimu yake ni ya la saba,au kazi yake haimlipi,pengine kazi hana kabisa..mambo kama hayo.
Mwache aolewe,atakuja juta akimrudia ex wake.
 

Unaonaje akitembelea site ya Ex?
Hata kujuliana hali ni makosa!!
 
kuwa makini katika maamuzi,, acha tamaa unyosha mapenzi ya kweli bila ya kusahau kuomba mungu mana kama mke mwema hutoka kwa bwana basi hata mume mwema hutoka kwa bwana shinda vishawishi..
 
Go a head mamyto! 5 years bila mawasiliano ni mingi,,
 

Wakatia unapojibu maswali haya zingatia eneo nililowekwa RED
1) Wewe ni site ndio ilikupa kiwewe? au ?
2)Je wewe unampenda kweli huyo ulie nae?
3) Kuna haja gani ya kurudi nyuma na kuanza kumwazia Ex wakati mmeshaweka malengo mengi na huyo ulie nae sasa hivi?
4)Ukiitwa limbukeni wa mapenzi utakataa?
 
Yogati
mi ni mwalimu huwa napenda mwanafunzi avumbue jibu kwa maswali !so please be my student mamii jus for now u hata zaidi ukipenda.
-huyo mwanaume unayetaka kuolewa naye unahisi hastahili kuwa mumeo?
-huyo mwanaume uliyeachana naye unaamini ni umbali tu uliowafanya muaachane hakuna lingine?
huwa siamini sasna kwenye hii sasabu ya umbali kuwaachanisha wanaopendana kwa dhati!
-nini vigezo vyako kwa mwanaume uaminiye ndiye mume sahihi?
-unaamini nini katika tafsiri ya ndoa na mali tumilikizo/tulizokuta wenzi wetu wanamiliki!
-unaweza ukatafakari kwa undani mahusiano kati yako na dada yako,ni mtu wa aina gani?
nijibu maswali haya thn tuendelee mpenzi!maisha sio magumu hivo ni uchaguzi wa maisha tu tuyatakayo!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu Yogati,

Natofautiana kidogo na baadhi ya wachangiaji kuwa wewe kueleza kuhusu 'site' ya mpenzi wako wa zamani ndiyo sababu tosha ya kukufanya 'umtake'..maana ninaitafsiri(ni ukaribu fulani ndani ya mji mmoja(city) wenye kukufanya utake kumuona kila leo! yaani kuwepo hapo jirani kunakufanya ushawishike zaidi kutaka kumuona kuliko alipokuwa Mwanza kama zamani.


Hata hivyo kuna vitu unapaswa kuzingatia.

1. Kwanini mliachana na huyo mpenzi wako wa zamani?
-Kusema kirahisi tu, kuwa, "tuliachana bila ugomvi" haimaanishi mrudiane!Umesema kuwa 'umbali' ulichangia, ikimaanisha kulikuwa na sababu hasa kuu na si umbali.

2. Hisia zisizoeleweka.
-Kunatofauti kati ya Kupenda , Kutamani, Kukosa(Miss), na kukumbuka.
Sijui unamaanisha nini kati ya hivyo..lakini iwapo utasema kuwa unampenda naomba ujiulize haya,
-Huko 'kupenda' unakosema, kulikuwepo kabla au kumeanza baada ya kuambiwa na dada yako?
-Iwapo ungeletewa taarifa kuwa bado anakupenda tena ukiwa umeshaolewa ungeendelea kumchukulia hivyo?
-Unategemea nini kwa mchumba wako wa sasa iwapo akijua kuwa unataka kuanzisha mahusiano based on hisia usizozielewa tena wakati wa uchumba?.

3. Tabia:
- Je, unajua huyo mpenzi wa zamani alikuwa na mwenendo gani?
-Iwapo anataarifa kuhusu ndoa yako(presuming,since kama anakupenda na kutaka mrudiane ameshakufuatilia na kujua), Unadhani atakuchukuliaje wewe hasa MSIMAMO wako kupitia suala tu la kutaka kuonana kwa haraka namna hiyo?

'Memories'..tulia, tazama unataka nini..kisha chukua uamuzi lakini so far, endelea na mipango yako ya ndoa maana yaliyopita si ndwele! Ukisema kila mtu amrudie mpenzi wake kwa sababu tu hawakuachana kwa ugomvi, kuna watu watamiliki mtaa/vijiji.

Goodluck.
 
Last edited by a moderator:
una akili wewe!
unanidai dompo ujue!
 
Kwahiyo tuseme mmerudiana,.. Sasa nikuulize zikitokea circumstance za kuwa mbali tena na huyo X Wako utaachana nae na kutafuta mwengine wa karibu zaidi??
 
Dada haya ni mapenzi;fuata moyo wako ila kuwa mwangalifu isije kuwa huyo x wako kashapata mtu ila amekumbuka mavituz yako uliyokuwa unampa so anataka kuonja tena na wala hana mpango wa muda mrefu na wewe;
 
umempenda kwa kua umesikia ana site yake ambayo bila shaka ni mjengo,komaa na huyo huyo uliyenaye mpaka na nyie muwe na site yenu
 
huna jipya ww mwanmke tamaa tu zimekujaa umesikia ur x ana site it means ana life poa kuliko huyo boyfriebd wako wa sasa unajishaua et u av gd memories abt him acha tamaa go on with ur mission
 
uchumba unavunjwa ndoa hauvunjiiiiiiiii...tafuta upendalooooooooo kaa na ex mwambie usikiee anamalengoo asije kukuingiza chakaaaa...pia ucje tembea nje ya ndoa hairishaaaa mipango upate hakika
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…