Hapa jamaa anaoa galasa tu, hamna mke hapa. Sijui kwa nini tanzanian women mko pre occupied sana na mambo ya kuolewa. I wonder! mnapenda kuolewa na uzinzi mnautaka. Kwa nini usimalizane na uzinzi alafu uje utulie?
Wanajf habarini za jioni, naombeni ushauri wenu katika hili please maana sijielewi,
Mimi ni mdada mwenye mchumba na soon this year tunatarajia kufunga ndoa, kabla sijampata huyu mchumba nilikuwa na boyfriend ambaye tuliachana pasipo ugomvi na nadhani hii ilichanngiwa na distance tulokuwa nayo coz yy alikuwa mza kwa mda mrefu nami nikiwa dar chuo. Tulipoteza mawasiliano almost 5 yrs sasa hatujawasiliana. Last week dadangu alinipigia kuniarifu kuwa amekutana na my ex akiwa site kwake nje ya mji kdg ambapo dadangu naye anaishi huko, aliniambia kuwa my ex alimwomba namba yangu coz anataka turudiane na kwamba amenitafuta siku nyingi bila mafanikio but sister aliogopa kumpa coz anajua anaweza kuharibu hii mipango mingine. Tatizo langu ni kwamba tangu niliposikia habari zake nimejikuta kumpenda sana my ex natamani nionane naye yaani mawazo juu yake hayaishi kichwani mwangu najaribu kujisahaulisha but nashindwa. Wanajamii nisaidieni nifanyeje wapendwa?

ya kweli hayo?ingawa nimechekaUnamuwaza kwa sababu umembiwa na site , kwa hiyo anajenga, hahahahaa .......:becky::confused2:
Yaliyopita si ndwele ...........................!
Wanajf habarini za jioni, naombeni ushauri wenu katika hili please maana sijielewi,
Mimi ni mdada mwenye mchumba na soon this year tunatarajia kufunga ndoa, kabla sijampata huyu mchumba nilikuwa na boyfriend ambaye tuliachana pasipo ugomvi na nadhani hii ilichanngiwa na distance tulokuwa nayo coz yy alikuwa mza kwa mda mrefu nami nikiwa dar chuo. Tulipoteza mawasiliano almost 5 yrs sasa hatujawasiliana. Last week dadangu alinipigia kuniarifu kuwa amekutana na my ex akiwa site kwake nje ya mji kdg ambapo dadangu naye anaishi huko, aliniambia kuwa my ex alimwomba namba yangu coz anataka turudiane na kwamba amenitafuta siku nyingi bila mafanikio but sister aliogopa kumpa coz anajua anaweza kuharibu hii mipango mingine. Tatizo langu ni kwamba tangu niliposikia habari zake nimejikuta kumpenda sana my ex natamani nionane naye yaani mawazo juu yake hayaishi kichwani mwangu najaribu kujisahaulisha but nashindwa. Wanajamii nisaidieni nifanyeje wapendwa?
ya kweli hayo?ingawa nimecheka
Naona ameshapata ushauri mzuri tu toka kwa wadau hapo chini.