ushauri jamani

Mwambie jamaa amwambie binti ameamua kusitisha ndoa kwanza au kuisogeza mbele.
Hlf asubiri reaction ya binti.
Kama kweli ni pepa zinazingua binti ataomba msamaa na kujirekebisha
Kama ni uzushi binti ataona poa tu kashushiwa mzigo ,maana nahisi binti hataki ndoa ana mtu mwingine

akimwambia mda huu wa mtihani si atafeli mtihani? Ila mi mwenyewe nimemwambia kusoma Cpa sio kigezo
 
Haya mambo ya mapenzi ya mbali mbali bwana mwambie avute subira tu na kumwomba mungu atakapomaliza hiyo mitihani mbivu na mbichi zitajulikana!
 
Back
Top Bottom