carnte
JF-Expert Member
- Aug 8, 2017
- 362
- 425
Dada usiwe una vuta na mbegu zakeNjia ya kolomije
Dada usiwe una vuta na mbegu zakeNjia ya kolomije
Punguza mazoea kuanzia kuongea mpaka mawasiliano ya kwenye simu. Yy mwenyew atajiongezaIvi njia rahisi ya kumuacha mwanamke unaeonana nae kila siku ni IPI?
Teh!zile mbegu zake ndio zenyewe mkuuDada usiwe una vuta na mbegu zake
Hapana mkuu mimi siyo wa kikeHivi mkuu wewe ni wa kike?nisamehe kukuuliza hapa