Ushauri jamani!!

Ushauri jamani!!

Njia ziko zaidi ya kumi hapa nitataja baadhi tu.


1)Mwambie direct kuwa mnataka kuachana kwamba hufurahii au huridhiki na mahusiano yenu.

2) Mtafutie visa vya kawaida mfano usipokee sim yake au kuwa mkali sana au usiwe unamtext mara kwa mara.. In fact Punguza mawasiliano

3) Tengeneza mfumanio, akufumanie ukiwa juu ya kiuno kingine.

4)Safiri safari ya mbali au hama hapo unapokaa bila mawasiliano.

5) Tumia marafiki zako wauharibu uhusiano wenu.

6)Mwombe yale mambo yasiyoruhusiwa kuombwa (mfano 0712)

7)Tafuta kisa kitakachowafanya korofishane/mkosane/mpigane na kutupiana maneno ya nguoni then uamue kukatisha uhusiano.

8) Mtafute mwanamke mwingine halafu siku ukiwa nae mwambie ampigie simu gf wako huyu unayetaka kumwacha halafu amwagie mapovu.

Nadhani hayo yatakutosha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom