Ushauri jamani!!

Ushauri jamani!!

Duhh!... Fanyia kazi ushauri namba moja na namba mbili basi!!
 
Tafuta mwanamke mwingine hapo hapo mtaani kwenu fungamana naye mara kwa mara, ukiwa na nafasi tafuteni sehemu mkae mpige mastory tu , sio lazima awe mpenzi
 
hahahahaha sasa hapo ni kuwa gentleman tu maana ukiwaletea u-boy utajikuta bado mtumwa wake wewe Fanya yako acha mazoea nae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom