Sasa mwaka mzima upo mtaani bado una manga manga,je wadogo zako utaweza kuwashauri kweli si utawa confuse..
Ila sawa hapo jaribu hizo mbili kati ya microbiology iwe first selection halafu ifuatie hiyo molecular biology and biotechnology kwa UDSM
Hizo mbili zilizobaki chuo ni SUA na sikushauri sana ila pia unaweza kujaribu usijali.