Ushauri: Ili kuongeza ufanisi wa ukusanyaji mapato, TRA igawanywe na kuwa mamlaka mbili, mamlaka ya mapato ya ndani na mamlaka ya mapato ya nje

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
3,117
Reaction score
5,321
Salamu

Rais wa JMT, Dkt. Samia Suluhu Hassan
Wazir wa Fedha, Dkt.Mwigulu Nchemba

Ninayo furaha sana kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na huruma kwa baraka zake kuu tunazoendelea kuzishuhudia katika Taifa letu. Kwa namna ya pekee kabisa ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa amani, umoja na mshikamano tulionao kama Taifa.

Rais, pamoja na mambo mengine, ninayo furaha kubwa kukupongeza kwa uongozi wenye matokeo chanya kwa maendeleo yetu kwa kizazi cha sasa na vijavyo, kwa hakika nikiri kusema kwamba ni Uongozi wenye kuacha alama ya matumaini.

Rais, wenye kuitambua dhamira yako njema kwa Taifa letu hatuchoki kukuombea, kukutia moyo na kutumia nafasi na majukwaa mbalimbali kusaidia na kutoa mchango wa Ushauri, Maoni na Mapendekezo ambayo tunaamini yatasaidia kuchochea kusukuma gurudumu la maendeleo yetu mbele.

Rais, nikiwa kama mtanzania ambaye nina tamaa ya kuona mabadiliko chanya kwenye kila eneo, ninawiwa kutoa mchango wa mawazo ambayo yataleta tija kwenye maeneo husika na leo ninawiwa kutoa mchango wangu juu ya wazo la kuigawanya MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA(TRA).

Rais, ushauri wangu wa kuigawanya TRA ili zipatikane Mamlaka mbili ambazo tuziite Mamlaka ya Mapato ya Ndani na Mamlaka ya Mapato ya nje linachagizwa pakubwa na upotovu wa Mapato na hilo pengine ni kutokana na ukubwa wa TRA ulionao sasa

Rais, kuigawanya TRA kutasaidia kuleta ufanisi mkubwa katika ukusanyaji mapato katika vyanzo mbalimbali vilivyopo na pia kutasiadia kila Mamlaka kuja na ubunifu wa kivyake ili kuongeza wigo wa kodi kuliko ilivyo sasa.

Rais, katika wazo hili la kuigawanya TRA, Mamlaka ya Mapato ya Ndani ihusike na mapato yote ambayo chanzo cha mapato kiwe ni Tanzania kwa maana ya kwamba kama ni bidhaa iwe imetengezwa Tanzania na Mamlaka ya Mapato ya nje ihusike na mapato yote ambayo Chanzo Chake ni nje ya nchi na bidhaa zote ambazo zimeingizwa kutoka nje ya nchi

Huu ndio Mchango wangu maoni katika suala hili Mhe.Rais, ni matumaini yangu yataleta tija katika ukusanyaji mkubwa wa mapato ya Serikali na kudhibiti upotevu wa mapato kutokana na sababu mbalimbali.

"KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE"
 
Ndo akili zenu zilipoishia. Kuongeza tu idadi ya mataasisi

Kuongeza ufanisi katika makusanyo ni kuondokana na matumizi ya Cash tu. Na hili huitaji kuongeza taasisi yeyote ile.

Transactions zote zikifanywa kwa njia za kidigitali huitaji hata kuongeza Taasisi maana kila kitu kitakatwa kwa mfumo wa kidigitali na ukusanyaji wa mapato utakuwa vizuri.
 
Si lazima kugawanya TRA, humo homo zianzishwe division, but still under same umbrella
 
Mimi kidogo nipo tofauti na wewe.
Kwanza tutambue ili kuweza kukuza uchumi kodi za ndani ndiyo ila kitu kwa sababu mzunguko wa fedha unakuwa ndani lakini pia bidhaa au huduma zinatoka ndani. Hapa tunakuwa tunaokoa fedha za kigeni.
Pili ili ufanikiwe unatakiwa importation au manunuzi toka nje yawe ni machache sana kulinganisha na uzalishaji wa ndani ambao unatakiwa kuwa mkubwa. Kama nilivyosema kwa kufanya hivi tunaweza fanikiwa sana kuokoa fedha za kigeni kwani uagizaji wa bidhaa au huduma toka nje zinamaliza sana fedha za kigeni na pia kuchangia kuporomoka kwa thamani ya fedha yetu.

Mbali na hilo hapa ni kuongeza garama za kiutendaji maana kutakuwa tena na kamishna mkuu wa Taasisis ya Kodi za nje na Management nzima, wafanyakazi , vitendea kazi. Lakini pia changamoto ya kubadilishana taarifa maana kodi za ndani kuna taarifa ambazo watahitaji kuzipata kwa bidhaa zilizoingia. Je umejiuliza mizogo ya Transit ambayo haijalipa kodi nani atasimamia iwapo ikipotelea ndani ya nchi? Je magendo yakipenya nani atasimamia mitaani?

Kwa sasa TRA ukiangaia structure yao wamegawanyika kodi za ndani na Forodha ambayo kwangu naona ipo sawa. Idara zote zipo chini ya Makamishna ambao wanaripoti kwa Kamishna Mkuuwa TRA. Hii inawafanya kuweza kufanya kazi kwa ukaribu kwa kushirikiana na kutatua changamoto kwa pamoja kwani wanakutana na kupata ushauri, maelekezo na sheria kwa pamoja. Kwa sasa nasikia hata mifumo nayo inasomana wa forodha tancis na wa kodi za ndani idras.

Naomba wasilisha ni maoni yangu kama mdau
 
Si lazima kugawanya TRA, humo homo zianzishwe division, but still under same umbrella
Taasisi ikiwa kubwa inachochea taasisis kufanya kazi Chini ya kiwango kwa kuwa usimamizi sio mzuri na zaidi ya yote taasisi itakuwa inaongeza idadi ya wafanyakazi bila kuandaa mazingira ya kuwasimamia wafanyakazi hao.
 
Ndo akili zenu zilipoishia. Kuongeza tu idadi ya mataasisi

Kuongeza ufanisi katika makusanyo ni kuondokana na matumizi ya Cash tu. Na hili huitaji kuongeza taasisi yeyote ile.

Transactions zote zikifanywa kwa njia za kidigitali huitaji hata kuongeza Taasisi maana kila kitu kitakatwa kwa mfumo wa kidigitali na ukusanyaji wa mapato utakuwa vizuri.
Taasisi ikisimamia jambo moja inaongeza ufanisi na ubora zaidi.
 
Taasisi ikiwa kubwa inachochea taasisis kufanya kazi Chini ya kiwango kwa kuwa usimamizi sio mzuri na zaidi ya yote taasisi itakuwa inaongeza idadi ya wafanyakazi bila kuandaa mazingira ya kuwasimamia wafanyakazi hao.
Sidhani kama that is an issue. Unless kama unasababu nyingine credible. Tuna taasis ngapi kubwa nchi hii na zina run efficient? I mean hazijafanana na TRA but yet effective?

Ukubwa is not an issue, ni about efficiency, kama ukubwa hauleti shida kwenye efficiency why wagawanywe?
 
Salamu

Rais wa JMT, Dkt. Samia Suluhu Hassan
Wazir wa Fedha, Dkt.Mwigulu Nchemba

Ninayo furaha sana kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na huruma kwa baraka zake kuu tunazoendelea kuzishuhudia katika Taifa letu. Kwa namna ya pekee kabisa ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa amani, umoja na mshikamano tulionao kama Taifa.

Rais, pamoja na mambo mengine, ninayo furaha kubwa kukupongeza kwa uongozi wenye matokeo chanya kwa maendeleo yetu kwa kizazi cha sasa na vijavyo, kwa hakika nikiri kusema kwamba ni Uongozi wenye kuacha alama ya matumaini.

Rais, wenye kuitambua dhamira yako njema kwa Taifa letu hatuchoki kukuombea, kukutia moyo na kutumia nafasi na majukwaa mbalimbali kusaidia na kutoa mchango wa Ushauri, Maoni na Mapendekezo ambayo tunaamini yatasaidia kuchochea kusukuma gurudumu la maendeleo yetu mbele.

Rais, nikiwa kama mtanzania ambaye nina tamaa ya kuona mabadiliko chanya kwenye kila eneo, ninawiwa kutoa mchango wa mawazo ambayo yataleta tija kwenye maeneo husika na leo ninawiwa kutoa mchango wangu juu ya wazo la kuigawanya MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA(TRA).

Rais, ushauri wangu wa kuigawanya TRA ili zipatikane Mamlaka mbili ambazo tuziite Mamlaka ya Mapato ya Ndani na Mamlaka ya Mapato ya nje linachagizwa pakubwa na upotovu wa Mapato na hilo pengine ni kutokana na ukubwa wa TRA ulionao sasa

Rais, kuigawanya TRA kutasaidia kuleta ufanisi mkubwa katika ukusanyaji mapato katika vyanzo mbalimbali vilivyopo na pia kutasiadia kila Mamlaka kuja na ubunifu wa kivyake ili kuongeza wigo wa kodi kuliko ilivyo sasa.

Rais, katika wazo hili la kuigawanya TRA, Mamlaka ya Mapato ya Ndani ihusike na mapato yote ambayo chanzo cha mapato kiwe ni Tanzania kwa maana ya kwamba kama ni bidhaa iwe imetengezwa Tanzania na Mamlaka ya Mapato ya nje ihusike na mapato yote ambayo Chanzo Chake ni nje ya nchi na bidhaa zote ambazo zimeingizwa kutoka nje ya nchi

Huu ndio Mchango wangu maoni katika suala hili Mhe.Rais, ni matumaini yangu yataleta tija katika ukusanyaji mkubwa wa mapato ya Serikali na kudhibiti upotevu wa mapato kutokana na sababu mbalimbali.

"KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE"
Na wewe unaona umetoa wazo kabsa?
 
Back
Top Bottom