Ushauri: Huyu mtoto wa kike ananipenda kweli?

nzoya

Member
Joined
Dec 8, 2012
Posts
87
Reaction score
11
Kama miezi nane iliyopita nilikutana na Dada mmoja kama kawaida tukaanzisha mahusiano na alikua anakuja sana home yaani getho nilipopanga na kunasehemu nilikua nafanya kazi pia ikitokea contract ikawa imeisha nilimwambia bby mkataba umeisha kule job sasa inabidi nitafute kwingine kabla ya hapo niliona ni mshauri mzuri na nilimkubali sana.

Baada ya ile kazi kuisha na yeye akakata mguu nikawa kila nikimwita yuko busy coz na yeye kunasehemu anafanyakazi baada ya miezi miwili hivi tukakutana naye akitoka job nami nimetoka kwenye mihangaiko alivoniona akastuka coz nilikua nimetoka smart akaniuliza VIP kulikoni nami kwa kua nilimpenda nikaamua kumdanganya ili nimpime.

Bby nimetoka job wiki iliyopita nilikupigia simu hukupokea nilitaka kutuambia kua nimepata kazi kwenye moja ya taasisi za kimataifa na yeye sianajua shule nimepiga akajaa bby intakuja weekend kukuona na kweli akaja bila kujua kua siku hiyo nilikua nimetoka mishemishe tu bado niko bench, kaka kama Mara tatu swaga kibao ushauri mwingi fanya ivi fanya ivi! Mwanzo nilifikili kua anamapenzi ya dhati kwangu kwani pia ni mtu wa dini tu vizuri lakini nimekua na stuka now naona kama yupo kimaslahi.

Ushauri wenu plz huyu anafaa?
 
Akufaae kwa dhiki ndiye rafk@huyoo alikupenda ulippokuwa na job tuu... LEO huna anakukwepa kuwa mzgo kwakeeee
 
Last edited by a moderator:
Usimgegede..Mwambie Tuu Hafai!!! Shukuru Mola Amekunulia!!
 
kupata mtu wa kuoa ni ishue jombaa ukiingia kwa giaya huyu wa kusali utaumia...bora uchunguze kistyle nyingi
 
Mbona maamuzi hayaitaji kamati ya ufundi??????????
 
Kama miezi nane iliyopita nilikutana na Dada mmoja kama kawaida tukaanzisha mahusiano na alikua anakuja sana home yaani getho nilipopanga na kunasehemu nilikua nafanya kazi pia ikitokea contract ikawa imeisha nilimwambia bby mkataba umeisha kule job sasa inabidi nitafute kwingine kabla ya hapo niliona ni mshauri mzuri na nilimkubali sana.

Baada ya ile kazi kuisha na yeye akakata mguu nikawa kila nikimwita yuko busy coz na yeye kunasehemu anafanyakazi baada ya miezi miwili hivi tukakutana naye akitoka job nami nimetoka kwenye mihangaiko alivoniona akastuka coz nilikua nimetoka smart akaniuliza VIP kulikoni nami kwa kua nilimpenda nikaamua kumdanganya ili nimpime.

Bby nimetoka job wiki iliyopita nilikupigia simu hukupokea nilitaka kutuambia kua nimepata kazi kwenye moja ya taasisi za kimataifa na yeye sianajua shule nimepiga akajaa bby intakuja weekend kukuona na kweli akaja bila kujua kua siku hiyo nilikua nimetoka mishemishe tu bado niko bench, kaka kama Mara tatu swaga kibao ushauri mwingi fanya ivi fanya ivi! Mwanzo nilifikili kua anamapenzi ya dhati kwangu kwani pia ni mtu wa dini tu vizuri lakini nimekua na stuka now naona kama yupo kimaslahi.

Ushauri wenu plz huyu anafaa?

Hapo umeliwa boy cha msing achana nae fanya ishu zingine
 
huyo lazima anatoka ule mkoa wenye mlima mrefu kuliko yote africa
 
Back
Top Bottom