Mwananjengo
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 317
- 101
- Thread starter
- #21
Kwanza pole sana ndugu kwa hilo. Kuna wimbi la utoaji mimba limetanda kwa hawa dada zetu bila kujali litawagharimu vip. Binafsi nilishuhudia binti kapoteza maisha kwa isue kama hizi pia kuna matatizo lukuki yanayoambatana na utoaji mimba kama kutoshika mimba tena, kudhorota afya n.k. wataalam watajitokeza mda. Nakushauri:
Mosi, utoaji mimba ni dhambi na ukatili wa ajabu pia ni makosa kisheria, hivyo mwogopeni Mungu na mtii sheria za nchi.
Pili, mshauri na uoneshe nia ya kumlinda yeye na kichanga kwa ufupi awe ur future wife ili mtoto apate haki zake.
Tatu, uwe tayaei kwenda kwao kujitambulisha ili kuondoa tofauti na wazazi wake kwa mjibu wa mila na destuli za kwao.
Akiwa mbishi'''mwaga unga na achana nae kabisa pia umwogope kwa kutambua kama anadhuru kichanga damu yake je wewe utakayeishi nae kama mke na mme itakuwaje?
Tafakari...chukua hatua!
Aksante exceptional,la kuwa tayar kujtambulsha nshamwambia akitoa taarfa kwamba ana mimba wala asimumunye maneno anitaje na nko tayr kujtambulsha.