USHAURI HUU UTAWAFAA SANA Kikwete, Wassira, Chiligati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

USHAURI HUU UTAWAFAA SANA Kikwete, Wassira, Chiligati

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Manyanza, Mar 6, 2011.

 1. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Napenda kunukuu moja ya barua ndefu za Jenerali Ulimwengu kwa raisi JK alizomwandikia siku chache mara baada ya kupata ridhaa ya NEC na TISS kurudi ikulu kwa awamu ya pili..
  Na nukuu kama ifuatavyo:-
  ......Mwaka 1987 tulikuwa sote pale Kizota katika mkutano mkuu wa CCM na tulimsikia mwenyekiti wa CCM Taifa Mwalimi Julius Kambarage Nyerere akisema maneno haya alitukumbusha Msemo usemao usione vyaelea ujue vimeundwa"
  Alisema kwamba amani tunayojivunia ni matunda ya sera nzuri na mipango madhubuti iliyowasaidia wananchi kuwapa matumainina kisha akaongeza kwa kuuliza, kama amani huzuka hivi hivi tu kwanini isizuke kila mahali?
  Mwisho wa kunukuu

  ushauri wangu kwa JK, Tendwa, Chiligati, Wassira na wote wanaoleta propaganda za kusema kwamba CHADEMA inataka kusababisha uvunjifu wa amani katika nchi,

  NI KWAMBA ILITUENDELEE KUVUNA AMANI HATUNA BUDI KUWEKEZA KATIKA KUWATENDEA WANANCHI MEMA NA KUWAONDOLEA KERO ZINAZOWAKABILI NADHANI AMANI HAPA ITADUMU TENA SANA NA MTAENDELEA KUONGOZA MILELE LAKINI ZAIDI YA HAPO, MTAIKIMBIA NCHI.
   
Loading...