M miksel Member Joined Jan 5, 2011 Posts 63 Reaction score 6 May 27, 2016 #1 nimegushi sahii kene clearance form nlikua nataka cheti xaxa nkakamatwa da ticha kakinukisha ... cjui nfanyaje
nimegushi sahii kene clearance form nlikua nataka cheti xaxa nkakamatwa da ticha kakinukisha ... cjui nfanyaje
Tozonia JF-Expert Member Joined Jun 18, 2013 Posts 689 Reaction score 735 May 27, 2016 #2 Mgushi na ticha
nzalendo Platinum Member Joined May 26, 2009 Posts 13,067 Reaction score 15,142 May 27, 2016 #3 miksel said: nimegushi sahii kene clearance form nlikua nataka cheti xaxa nkakamatwa da ticha kakinukisha ... cjui nfanyaje Click to expand... KiMBIA UVUNJIKE MKUU
miksel said: nimegushi sahii kene clearance form nlikua nataka cheti xaxa nkakamatwa da ticha kakinukisha ... cjui nfanyaje Click to expand... KiMBIA UVUNJIKE MKUU
Mwanamaji JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,906 Reaction score 4,532 May 27, 2016 #4 Mpe simu niongee nae.
Sys-root JF-Expert Member Joined Mar 11, 2016 Posts 371 Reaction score 566 May 27, 2016 #5 ninawasiwasi na jinsi unavyoandika huwezi kuwa mtu wa maana
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,778 Reaction score 12,576 May 27, 2016 #6 hahahh duh! hizi za uso hizi kama sio za mbavu
fbytel0000 Senior Member Joined Nov 25, 2013 Posts 106 Reaction score 74 May 27, 2016 #7 miksel said: nimegushi sahii kene clearance form nlikua nataka cheti xaxa nkakamatwa da ticha kakinukisha ... cjui nfanyaje Click to expand... Sijui kiswahili cha wapi hiki... Waachie tu hicho cheti, kwa sababu hustaili.
miksel said: nimegushi sahii kene clearance form nlikua nataka cheti xaxa nkakamatwa da ticha kakinukisha ... cjui nfanyaje Click to expand... Sijui kiswahili cha wapi hiki... Waachie tu hicho cheti, kwa sababu hustaili.
Sys-root JF-Expert Member Joined Mar 11, 2016 Posts 371 Reaction score 566 May 27, 2016 #8 inaonekana hata hicho cheti umegushi
mngony JF-Expert Member Joined Jul 27, 2012 Posts 5,753 Reaction score 7,269 May 27, 2016 #9 Kama hujui kughushi ulighushia ya nini? Pia huwa unaangalia wa kumghushia wengine wanoko sana wakijua msala. Nenda ukaongee nae tu, ungama uombe fomu nyingine ujaze, kama una madeni yalipe upate saini hizo
Kama hujui kughushi ulighushia ya nini? Pia huwa unaangalia wa kumghushia wengine wanoko sana wakijua msala. Nenda ukaongee nae tu, ungama uombe fomu nyingine ujaze, kama una madeni yalipe upate saini hizo