dogo ngoja nikupe ukweli mchungu. HIV ipo Tanzania kabla hujazaliwa. kwa hiyo kuna watu na vijana wa umri wako ni waathirika kutoka Kwa mama zao na hawatumii dawa.
wako na ni wazima kabisa. wengine wa natumia dawa na huwezi kuwagundua. kama umeridhika na kuishi na vvu jilipue tu lakini kama ni muoga nendeni mkapime kwanza. yawezekana hata wewe ni muathirika!! kwani unajua siri za wazazi wako wewe!??
kuna wanawake lakini huwa wanapenda utamu wote waupate na sio wakuambukize vvu. niliwahi kutana naye mmoja wa hivyo tukapima na tukafaidishana.
kupima kuna umuhimu aisee