Mkuu hatuishi pamoja. Kila mtu anaishi kwa wazazi wake. Pia,kipimo cha huu ugonjwa huitaji damu ya mhusika. Sijui nitafanya nini niweze kumuweza na hatimaye tukapima."msomi gani ujui kuna vipimo vya nyumbani na unaweza mpima hata mtu bila yeye kusanuka au bado unamfumo ule wa kupanga foleni angaza?
Ni kweli mkuu lakini ikitokea anao si nitaukwaa? Mkuu kiukweli sipendi hilo litokee!