Ushauri: Hataki tutumie kondom

Solution ni kupima..don't try to throw your life away in a few minutes pleasure..tena you are still young..unatakiwa ukazane na masomo..akikataa kipima au condom don't do it
I think this will be the best solution. No matter what will happen.
 
Hizi combination na mambo mengi mliyonayo, jiandaeni kwenda Ualimu.
 
Hizi combination na mambo mengi mliyonayo, jiandaeni kwenda Ualimu.
Mkuu mimi siwezi kuwa mwalimu kwa sababu tayari npo chuoni katika kozi ya uhasibu. Yeye ndo yupo shuleni na hana dalili yoyote ya kuwa mwalimu japokuwa vyote ni kwa uwezo wa rabana.
 
Natambua hilo mkuu. Mwenzangu niliwahi kumuingizia ishu ya kwenda kupima,alisema anaogopa. Japo hakusema lakini alionekana dhahiri kutopendezwa na pendekezo langu
Unajichanganya jombaa
 
We nwambie unawaswas na afya yako akusindikize ukapime, akikubali unamwambia unaona je tukulipima wote tuwe na uhakika wa afya zetu? I wonder unashindw a kutumia akili ya kuzaliwa kumshawishi. Ulimtongoza je sasa? Bora uwe na uhakika wa afya yako kuliko kwenda kichwa kichwa uje ujutie baadae
 
Hivi kwaakili yako unafikiri unaweza kuukwepa UKIMWI???
 
Mmmmh! mambo mengine kupeana lawama baada aje na uzi atutaje tumemshauri vibayaa.....ila mi naona apige kavu tu ukimwi upo lakini hauui
Huo nao ni ushauri japo siamini wew unaweza kumfungulia yeyote kufuli wakat kuna wingu la mashaka kama la huyu
 

USHAURI WANGU:

Nanasi Lililoozea Ndani...
 
"
"mdogo wangu, dalili za ngoma unazifahamu sawasawa? kupata ukimwi si rahisi kama wengi wanavodhani make sure unamtayarisha vizr uke ulowe kabisa ili kuzuia ugumu utakao chubua uuume wako na kufanya Bloody contact yenu kuambatana na kuwa kitu kimoja kwenda kwa mwingine.. any way ukiwa baharia usiogope maji.. kula tu swahiba"
 
Mapenzi yana nguvu weweee
Najua yana nguvu but palipo kifo husinyaa, hata jogoo huogopa kuwika kwa ujasiri, na mikono hulegea kufungua pichu, unajua kila dalili zinaashiria hatari hapo cjui aomba ushauri wa kufa!
 
ni mapema sana kuanza "michezo mibaya". someni kwanza vijana. as they say. "there are plenty of fish in the sea"
 
Kijana utafikisha miaka 30 kweli dogo?

Elewa maisha ni matamu sana kuyaacha kwaajili ya papuchi
 

nikigundua kwamba sivyo nimfanye chochote nitakachoona kinamfaa - huu ni ujinga na utoto
kulipinga kuwa kondom ni kwa ajili Malaya - huu ni upuuzi na kutojielewa
 
na ww umezidi kumchunguza bata ona sasa unavyoteseka kumla
 
Utamuoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…