Ushauri: Hata kama wananchi wakigoma kujiandikisha, matokeo yaonyeshe wakazi wote wa kila kitongoji wamepiga kura, na CCM imeshinda kwa kishindo!

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,998
20,647
Wananchi wanadhani wanaweza kuibabaisha serikali kwa kuzira kujiandikisha kupiga kura.

Sasa kwa taarifa yenu utatangazwa ushindi wa kishindo na nchi itaenda,hakuna wa kutukwamisha,ukitaka kutukwamisha utakwama wewe.

Kidumu chama cha mapinduzi
 
Hiyo ni tabia ya madikteta
 
Wananchi wanadhani wanaweza kuibabaisha serikali kwa kuzira kujiandikisha kupiga kura.

Sasa kwa taarifa yenu utatangazwa ushindi wa kishindo na nchi itaenda,hakuna wa kutukwamisha,ukitaka kutukwamisha utakwama wewe.

Kidumu chama cha mapinduzi
Hahhahaaa dawa ishaanza kuwaingia, tena mjitangaze ushindi kwa 99% maana watanzania ni wajinga hawawezi kupinga. Pambazuko haliji kama mshale, hii ni ishara ndogo tu kuna mengi yanakuja kuwaonesha msivyokubalika. Unamtaka mwanchi ajiandika wakati unamwambia huwez mpelekea maendeleo alipochagua upinzani!!!. tangaza ccm wote wameshinda over
 
Ukweli utabaki mioyoni mwenu na utawasumbua sana.!

Kama serikali inafikia hatua inawatisha viongozi wa Mikoa na wilaya kuwa wasipoandikisha watu wa kutosha wataadhibiwa jua linawatesa sana.
kumbe ndio maana nimefatwa nyumbani leo,yaani hata kabla sijasafisha kinywa mwakindikishaji huyu hapa,,nikamwambia na kupiga kura mnifate hivihivi kama leo.
 
Sisiyemu mbereeee kwa mbeeereeeeeee
Wananchi wanadhani wanaweza kuibabaisha serikali kwa kuzira kujiandikisha kupiga kura.

Sasa kwa taarifa yenu utatangazwa ushindi wa kishindo na nchi itaenda,hakuna wa kutukwamisha,ukitaka kutukwamisha utakwama wewe.

Kidumu chama cha mapinduzi
tapatalk_1567662891357.jpeg
 
Ungemtoa nduki
nilimwomba na siku ya kupiga kura anifate nyumbani na nyaraka zote ili nipige kura,maana kwenye kituo kilichopangwa sitakwenda kama ilivyotokea kwenye zoezi hili la uandikishaji.
 
Wananchi wanadhani wanaweza kuibabaisha serikali kwa kuzira kujiandikisha kupiga kura.

Sasa kwa taarifa yenu utatangazwa ushindi wa kishindo na nchi itaenda,hakuna wa kutukwamisha,ukitaka kutukwamisha utakwama wewe.

Kidumu chama cha mapinduzi
Kidumu chama cha majizi
 
JWTZ lipewe kazi ya uhamasishaji kwa kuwa na RC na DC wamechemsha mpka sasa maana zimebaki siku mbili na uandikishaji haujafikia hata 25%
Good. Uandikishaji ulipaswa ufike asilimia 10 tu. Wakitaka uchaguzi ufutwe, jiwe ateue hao anaowataka. Tusipoteze pesa na kuwasumbua watanzania wapenda amani.
 
Ikibidi uandishaji uwe wa Lazima na kwa kuanzia waanze kuhakiki Watumishi wa Umma hasa Walimu kubaini waliosusa kujiandisha wajieleze kwanini wasichukuliwe hatua za kinidham
Kuna sheria yoyote inayomtaka mtumishi wa umma kujiandikisha katika daftari la wapiga kura?
 
Ikibidi uandishaji uwe wa Lazima na kwa kuanzia waanze kuhakiki Watumishi wa Umma hasa Walimu kubaini waliosusa kujiandisha wajieleze kwanini wasichukuliwe hatua za kinidham
Na ili kuwabana zaidi ni kuwaambia hawatapata haki zao za kiutumishi na kuwatuhumu kuwa wamegomea serikali na ni mawakala wa upinzani
 
Back
Top Bottom