Ushauri: Harusi na mimba ya miezi 7

Ushauri: Harusi na mimba ya miezi 7

Fungeni.
Mkihairosha mtajikuta mnaishi miaka 16 hamajafunga.

Achague nguo nzuri itakayositiri tumbo vizuri.
Asivae hills atafute sandals nzuri unique

Asisimame saaana

Nimekupata kwa asilimia mia moja.nitazingatia ushaur na mapendekezo yako
 
Ukihahirisha usije kujuta, maisha ya mkiwa wawili mlivyo sasa ni tofauti na mtoto akiingia. Kama unampenda awe mkeo funga ndoa...sababu changamoto za kule, kukaa macho usiku, kuviziana nani ataamka kumbembeleza mtoto, akitaka kupumzika mchana au usiku kwa uchovu n.k... Kwa mengine pia matumizi ya pesa mnazopata ubadili pia na hii ni moja ya majanga kwa wengi haswa katika kuzoea kupanga ya kulea mtoto na mahitaji yake n.k

Acha tu utajikuta humtaki na kudsi kabadilila tabia, au yeye atakukataaa...wengi ni testi kubwa sana..mkiwa kwente ndoa rahisi kuyapita kuliko mkiwa hamjaoana...

Kuna mengi katika mahusiano, lolote utakalo amua kumbuka kuomba upate uongozi wake.
 
Ushauri wenu ni muhimu sana wadau maana muda si mrefu napeleka posa/mahari kwa binti.tayar taratibu zote nimeshaziweka sawa,sasa najua wakati wa zoezi la posa kuna swali lazma litaulizwa kuhusu harusi,thats why nahitaji majibu toka kwenu. Ila nashukuru tayar nimeshaanza kupata majibu kutokana na komenti zenu wadau!
 
Nasikia ukifunga ndoa na mwanamke mwenye mimba basi zile ahadi zako na kifungo cha ndoa unamfunga na mwanao kama atakuwa wa kike atakuwa haolewi kumbe baba umemuoa katika ulimwengu wa roho. Subiri ajifungue.
Habari wadau,

Naombeni kupewa ushauri,

Nina mchumba wangu ambaye ninategemea kufunga ndoa siku za usoni. Bahati nzuri au mbaya ana ujauzito na kwa mipango na taratibu nilizoziweka katika kukamilisha zoezi la harusi mimba itakuwa na miezi 7. Naomba kushauriwa, inawezekana kufunga hiyo ndoa akiwa na mimba ya umri huo? Au niahirishe mpaka ajifungue then ndio tufanye hilo zoezi.

Naomba ushauri wenu.
 
Ukihahirisha usije kujuta, maisha ya mkiwa wawili mlivyo sasa ni tofauti na mtoto akiingia. Kama unampenda awe mkeo funga ndoa...sababu changamoto za kule, kukaa macho usiku, kuviziana nani ataamka kumbembeleza mtoto, akitaka kupumzika mchana au usiku kwa uchovu n.k... Kwa mengine pia matumizi ya pesa mnazopata ubadili pia na hii ni moja ya majanga kwa wengi haswa katika kuzoea kupanga ya kulea mtoto na mahitaji yake n.k

Acha tu utajikuta humtaki na kudsi kabadilila tabia, au yeye atakukataaa...wengi ni testi kubwa sana..mkiwa kwente ndoa rahisi kuyapita kuliko mkiwa hamjaoana...

Kuna mengi katika mahusiano, lolote utakalo amua kumbuka kuomba upate uongozi wake.

Amani ya nwana iwe nawe.ushauri mujarabu,
 
Lakin hiv kuna ndoa za stahili hyo znafanyika? Kwamba ndoa zenye mdada mwenye mimba kubwa kiasi hicho au mie ndie itakuwa ya kwanza?
Zipo ndoa za ivyo inategemea na kanisa unalofungishwa ndoa..... Ila miezi saba mmhh utakua umechoka sana according to my experience....
 
hiyo ndoa unafunga kwa mkuu wa wilaya? au kanisani
 
Katika kipindi ambacho ni risk kwa mama mwenye mimba ni kuanzia miezi saba 7, mwanamke anashauriwa asifanye au asiwe ktk mazingira ya shughuli zinazopelekea karibu mimba
NI vema akiwa ktk mazingira ya kupumzika..... Off coarse harusi ni jambo jema lakini kwa afya ya huyo mkeo siyo nzur
 
fungeni ndoa afu sherehe mtakuja kufanya baadae..........
 
Back
Top Bottom