Ushauri hapa juu ya kozi za afya

Anselem mathew

Senior Member
May 17, 2017
107
66
Wadau hivi nacte mbn wqmeongeza kigezo cha B/math MTU unatakiwa kuwa ma D na vipi kuhusu MTU mwenye F ya math ila phyz D chemistry C biology C na English C anaweza kudahiliwa clinical medicine haliyakuwa math ana F na wao wanataka D tano za math phyz chm na bioz na English tupe maoni wazoefu ilitujue cha kufanya tulioharbu math na je kozi gan naweza kusoma kulingana na matokeo hayo ila my general result ni point 22
 
Back
Top Bottom