Carina au ist
Carina au ist
Fortuna V6
mkuu achana na kabisa na kitu inaitwa jeep kwanza imetulia kwa mwendo ndo yenyewe,hiyo ni ni gari ya ulaya huwezi fananisha na gari za mjapani
mkuu achana na kabisa na kitu inaitwa jeep kwanza imetulia kwa mwendo ndo yenyewe,hiyo ni ni gari ya ulaya huwezi fananisha na gari za mjapani
Jeep huwa trafic awasubutu kusimamisha.iyo gari ni heshima ,sio japani
Naomba wenye uzoefu na haya magari wanisaidie ni gari ipi iko comfortable na operating/running cost ipo chini ukiachilia mbali matumizi ya mafuta. Magari ni kati ya Toyota Land cruiser Prado RZJ95/VZJ95 au Mitsubishi Outlander au Jeep charokee renegade GH-KJ37. Nahitaji SUV ambayo ina nguvu na inafika mahala popote Tanzania na iko comfortable pia.
Jeep ni gari ya ulaya?...hahahaha! Kwa class yake hakuna gari inayoifikia Land Cruiser kwa kila kitu, hata mimi sipendi TOYOTA, I'd go for Disco 3 au VW Toureg, lakini bado Cruiser ni jembe, hata Waingereza Na Wajerumani unaowaheshimu wanalifahamu hilo!
Heshima kivipi sasa, unaongelea Jeep gani, mannake kauli yako ni sawa na "toyota huwa trafic hasimamishi". we kweli darasa 7
Tazama jamaa hapo juu anataka jeep hipi hau ulizani toleo la mwaka 47,kitu cha chokolate(Charokee)
Mkuu kama unaweza beba mzigo wa jeep grand cherokee hutajuta kama unapiga masafa sana last week nimepiga safari dar tanga na jeep mzigo uko powerfull and confortable CC 3950 unazifeel kabisaaa chukua hiyo