Ushauri: Dada yangu ananiomba sana Pesa

Bingwa wa familia wewe..
Sasa nawe mjaribu kwa kumtest!!! Mwambie kuwa umekwana na upo hatarini ( hospital kwa matibabu au upo Polisi unadaiwa..nk nk) Say naomba pesa kama 1m !!
Hapo ndo utajuwa sura na moyo wa sista!!
 
Ukitaka kufa masikini endekeza hayo mambo ya kutoa toa, wana kamsemo kao,'unavyotoa ndio unafanikiwa' hiyo ni batili; ila Sayansi inakuambia weka akiba kwa ajili ya uwekezaji wako, na utajiri uko mbeleni kama utafanya hivyo. Kuendelea kutoa sehemu yoyote ile bila kuwa na tija ni unyonyaji.
 
Kutoa ni moyo.
Kama unatoa huku unasononeka haina maana.
Akiomba next time mwambie kuwa pesa zako una kazi nazo fulani. Ukirudia hivyo mara mbili tatu ataelewa kuwa hutaki ataacha kukubomu.
Ila kama una hela ya ziada kumpa dada yako sio mbaya vile anavyoshukuru ndio na wewe unapata zaidi.
 
uyo si wa kusaidia kwani yeye pesa zake uwa anakupa alafu kingine umesema ana misaluni kibao na vyanzo vingine vingi tu sasa kwa nini asumbue watu kiasi icho
 

Jamani kwa visa hivi wanawake watatuamiani kweli?mbona tumekuwa maboya sana, hivi hata shoo mnaziweza kweli kama tunasumbuka na kuanika self manageable issues kiasi hiki, kwani nini uombe ushauri Jambo dogo kiasi hiki?Men please let's not lose our manhood. Daah!!
 

Hahaha
 

Sawa mama
 

Sio lazma ucomment unaweza pita shaaah
 
Kweli kiimani huwa ukitoa ndipo ongezeko na neema hukurudia maradufu pasipo natarajio... Wazungu husema " be like a river not like reservoir "
Yaani uwe kama mto wa maji ni bora kuliko bwawa la maji taka!!
 
Hata kama hayanihusu naomba nikwambie kitu, wewe ni mtu wa imani ndogo uwezo mdogo wa kufikiri na hata hela unazo za karanga tu, sio issue ya kuuliza hapa hii ?

Unataka nani akuamulie pesa zako kwa ndg yako ? Kwa hiyo wakishauri usimpe au uendelee kumpa utafanya hivo bila akili yako? Siku nyingine andika vya akili aisee.
 
Mmh wapo wengi tu dada

Chanzo ni kuomba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] siamini kama ni kweli, sema wanajiunga michezo isiyolingana na vipato vyao hivyo wanajikuta asilimia kubwa wanaomba. Kwamba hawana kabisa hilo nakataa
 
Mashangazi na mawifi huwa hawapatani,sijui tatizo ni nini? ukishakuwa na familia yako ndio utajua uliyekuwa unamsaidia yukoje....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…