Kama hana chanzo basi wewe ndio chanzo chakeHahahah ukiwa na mradi wa kukuingizia pesa huwezi kwama shida yenu mnategemea huruma zetu ME!
Unakwamaje, unakuta mtu anacheza mchezo wa 30k kila siku ila anategemea aombe ombe kwa watu hio biashara inaniboaga sana. Na unajua kabisa mtu kazi hana ila shobo zake tu kwani lazima ucheze?
Hapo sawaKama hana chanzo basi wewe ndio chanzo chake
Ina maana wanaume wameisha tz? Mambo Mambo gani hayaWakuu habari. Dada angu tunashare mama amekua ananiomba sana pesa sio kwamba sipendi but imekua too much sana. Akiwa hana pesa ya vikoba sijui michezo yao wanajua wenyewe lazima anichek nitampa anaweza sema nimkope but huwa simdai imeisha hyo.
Ameolewa na ana wtt wa2 Ila cha kushangaza shemej yangu yupo vizuri anafanyia kazi Taasisi kubwa tu huko chugga. Yeye kama yeye ana biashara zake za saloon zinamwingizia pesa.
Nawaza mimuulize pesa anazopata kwenye busn anafanya nn au shem hatoi matunzo? Naona kama haitakuwa sawa, honestly yeye ndo anatakiwa kunisave dg lake yeye kama yeye maisha katoboa tyr.
Nipeni ushauri hapa bandugu.
Mpe acha uchoyo
Next time akija kukuomba pesa muambie Kuna issue unaifanya na hii pesa umeitenga kwa issue hiyo lakini unaweza kumkopesha.
Akirudi tena muambie dada hujarudisha ile pesa.
Usimpe hela huyo, ashakuona bablai
😂😂😂Naona dada zetu ndo mnatetea sana[emoji23]
Anataka kukuchuna tu hana jipyaAhsante au anadhan sina baby[emoji23][emoji23][emoji1787]
Mmhh acha kumjaza mwenzio upepo .. Kumsaidia mtu anaye jiweza ni baraka au ni kuangushana tu kiuchumi !?Mpe tu kama unayo ipo baraka kubwa sana katika kusaidia!!
Binafsi ninapomsaidia mtu siangalii anajiweza au hajiwezi natoa msaada pale inapohitajikaMmhh acha kumjaza mwenzio upepo .. Kumsaidia mtu anaye jiweza ni baraka au ni kuangushana tu kiuchumi !?
Wewe binadamu huwajui vizuriBinafsi ninapomsaidia mtu siangalii anajiweza au hajiwezi natoa msaada pale inapohitajika
Ndo maana nimekuambia ninamsaidia mtuWewe binadamu huwajui vizuri
Ndugu huwa wanapenda Sana uwasaidie pindi ukiwa na kipato, ila siku ukiyumba na ukakipoteza kile kinacho kupa kipato haohao ndo huwa wanasema alikua na kazi ila hana cha maana alicho fanya wanasahau wema wote.
Saidia unapoweza tena iwe kwenye mambo ya maana tu,, ukiona msaada unaoutoa unakufanya uumie usisite kuwajibu Sina hela
akikupigia tu simu baada ya salamu wewe anza kwa kumuomba hela.