Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
Kumbe solution unayo. Muulize hivyo na mwambie asikuombe tena pesa kwani na wewe una kazi nazo. Kila la kheri!Nawaza mimuulize pesa anazopata kwenye busn anafanya nn au shem hatoi matunzo? Naona kama haitakuwa sawa
Kama bado hujaoa na una kazi basi anajua huna cha kufanyia hzo hela zako..mm nilipoona mizinga inazd kutoka kwa ndugu nilibadili no kimya kimya na kuwapa no yangu mpya watu muhimu tu
Kumbe solution unayo. Muulize hivyo na mwambie asikuombe tena pesa kwani na wewe una kazi nazo. Kila la kheri!
Hivi nyie wanawake, hii michezo mnayoanzisha bila chanzo cha kipato na kutegemea sie ndio tuwape hela mnakuwa na maana gani?hakuna stress kama kukosa hela ya mchezo au vikoba...mpe tu usichoke mkuu
Sidhani kama mtu anaweza kuanzisha mchezo bila chanzo cha mapato ila tunakuwa tumekwama tu kupataHivi nyie wanawake, hii michezo mnayoanzisha bila chanzo cha kipato na kutegemea sie ndio tuwape hela mnakuwa na maana gani?
hakuna stress kama kukosa hela ya mchezo au vikoba...mpe tu usichoke mkuu
Akikuomba pesa MPE nusu ya alioomba mfano anakuomba 10000 unampa 5000
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Saidia pale unapokuwa na uwezo wa kusaidia wala usiwaze. Ni kama uwekezaji na huyo ndugu yako jua kuwa anakukubali sana na atakuja kukulipa makubwa. Ukiwa una mwambie sina ukiwa nacho msaidie
Hahahah ukiwa na mradi wa kukuingizia pesa huwezi kwama shida yenu mnategemea huruma zetu ME!Sidhani kama mtu anaweza kuanzisha mchezo bila chanzo cha mapato ila tunakuwa tumekwama tu kupata
Usijidanganye ndugu kama hawa wakisikia unashida huwa wanafurahi sana hizi pesa anazompa unaweza kukuta anampa mwanamme mwingine jaribu kuchunguz kama unafanya matumizi sahihi kwanini Kila usiku akwameSaidia pale unapokuwa na uwezo wa kusaidia wala usiwaze. Ni kama uwekezaji na huyo ndugu yako jua kuwa anakukubali sana na atakuja kukulipa makubwa. Ukiwa una mwambie sina ukiwa nacho msaidie