Ushauri: Clouds 360 morning

NGURI PORI

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,053
3,259
Mnachukua muda wenu mwingi saana kujikita kwnye story zenu binafsi kuliko Kuangalia dhana nzima ya kipindi.

Though mnakuwa mnaongelea maswala ya kijamii lakini inafika mahala mnajikita mno huko na inapoteza muelekeo mzima wa kipindi kujuza habari inachosha mtu kungoja habari husika.

In short story zinakua nyingi kuliko tija ya kipindi.Jaribu either kuwa na mda Mdogo wa kipindi au kuaanda habari za kutosha kuweza kufanya coverage ya mda wote coz kinachoonekana ni kua mna mda mwingi kuliko uwezo wa habari mlionao.

Ahsanteni.
 
Mnachukua Muda wenu Mwingi saana kujikita kwnye Story zenu binafsi kuliko Kuangalia dhana nzima ya kipindi .
Though mnakua mnaongelea maswala ya kijamii lakini inafika Mahala mnajikita mno huko na inapoteza Muelekeo mzima wa kipindi kujuza habari ...inachosha mtu kungoja habari husika .

In Short Story zinakua nyingi kuliko Tija Ya Kipindi.
Jaribu Either kua na mda Mdogo wa Kipindi ...au Kuaanda Habari za kutosha kuweza kufanya Coverage ya mda Wote Coz kinachoonekana ni kua mna mda mwingi kuliko Uwezo wa habari mlionao .

Ahsanteni.

Kama Unataka Habari Tegea Mimacho Yako TBC1 Na ITV Ila Kwa Sisi Wadau Wa Clouds Tv Hasa 360 Tunakipenda Kwakuwa Pale Tunapata Kitu Kiitwacho Kitaalam INFOTAINMENT. Na Pengine Nikuibie Tu SIRI Hicho Kipindi Kinatazamwa Na Watanzania Wengi Kuliko Hata Wale Wanaoangalia Parliamentary Sessions. Katika Journalism Hasa BROADCASTING Kuna Kitu Kimoja Kinaitwa " KISS " Kikimaanisha " Keep It Simple But Stupid " Ikimaainisha Katika Utangazaji Wa Leo Ambao Dunia Imebadilika Na Watu Wapo Busy Na Maisha Unatakiwa Kuwa MBUNIFU Kwa Kuandaa KIPINDI Ambacho Hata Kama Ni Cha Kuhabarisha au Kuwafahamisha Watu Basi Kifanye Kiwe Chepesi Tu Halafu Unaweka Kidogo Mzaha Mzaha Ili Kutomfanya Msikilizaji au Mtazamaji Aboreke. Ila Mbinu Hiyo Ya KISS Haitumiki Katika News Bulletin. Mfano Mzuri Tu Wa KIUHALISIA Ambao Naamini Hata Wewe Umeshakutana Nao Ni Kwamba Hata Mashuleni au Vyuo Vikuu Walimu au Wahadhiri Ambao Wako Very SOBER Wanafunzi Huwa HAWAWAELEWI Katika UFUNDISHAJI Wao Na HUFELI Pia MASOMO Yao Lakini Jaribu Kuulizia Mwalimu au Mhadhiri Ambae Yupo SIMPLE Na Ambaye Hupenda Sana KUCHEKESHA Wanafunzi Wake Na Kuingiza UKOMEDI Kidogo Wa Hapa Na Pale Kwanza Hilo Darasa Muda Wote Litakuwa LINACHANGAMKA Halafu Huyo Mwalimu au Mkufunzi Atakuwa ANAPENDWA Na Hata Wale Ambao Walikuwa WATORO au WATUKUTU Wa KUTUKUKA Lakini Pia Amini Usiamini Hata UELEWA Na UFAULU Wa Hao Wanaofundishwa Utakuwa Juu.
 
hata mi nimeliona hilo,mziki ni mwingi kuliko habari,asubuhi ni muda wa kutafuta,habarisha watu mara moja waende kwenye mizunguko yao
 
hahaha sawasawa hudson kamoga umeeleza vzuri nakupa like mkuu
 
Mkuu GENTAMYCINE hapa umetisha sana

Japo kiukweli hizi nondo ni za mass communication ya pale malimbe umenifanya nikumbuke main, nyamalango,sweya nganza na mitaa kibao

Na mbwembwe za Mass Com,Baso na Pr kwenye fawasco
 
Hapana Mkuu Mimi Siyo Hudson Kamoga Ila KIUTANI Huyo Mjamaa Ni Mtani Wangu Kutoka Mkoani SINGIDA Kwa Wanyiramba Na Wanyaturu. Mimi Majina Yangu Halisi Ni Mr. Kalemera Rwigyema Mazimpaka Raia Wa Nchini Rwanda Wa Kabila Zuri Na Lilibarikiwa Na Mwenyezi Mungu La Kitutsi Ila Nimejikuta Tu Nawapenda WATANZANIA KUNAKOTUKUKA Hasa Hasa Watu Wa Mikoa Ya MARA Na MTWARA Wa Makabila Ya WAZANAKI Na WAYAO. Naona Watu Wengi Sana Humu Mlikuwa Mna Hamu Ya Kunijua au Kuyajua Majina Yangu Halisi Hivyo Nimeshayaweka Hapo HADHARANI Hivyo Kazi Kwenu!
 
Hakika Mkuu. Na Hakuna Kitu Ninachojivunia Hapa Duniani Kama Kusoma Chuo Kikuu Cha MTAKATIFU AUGUSTINO ( SAUT ) Pale Mwanza Mkuu Kwani LEO HII NATAMBA NA NAJIVUNIA NONDO ZA WAHADHIRI WANGU WOTE WALIONIFUNDISHA Na Ambao Wamenifanya Leo Niwe JEMBE KATIKA MASUALA MAZIMA YA MASS COMMUNICATION Katika PRINT MEDIA, BROADCASTING Na PUBLIC RELATIONS. Sijui Nitawapa Nini WAHADHIRI Wangu Wa SAUT Ila Kikubwa NAWAOMBEA SANA KWA MWENYEZI MUNGU MAISHA MAREFU, MAFANIKIO ZAIDI NA WAZIDI KUWAPIKA Akina GENTAMYCINE Wengi Zaidi Ili Kwa Pamoja Tuje Kujenga JIJI LA MUNGU Kama Ilivyo Kwa MOTTO Ya SAUT. Mkuu Kumbe Na Wewe Umesoma SAUT? Ndiyo Maana UNA AKILI NYINGI Kama Za WANAFUNZI Wote WALIOSOMA SAUT. Sasa Nitakuwa Nakupenda Na Sitakupiga MADONGO Tena. Najua Post Hii ITAWAUMA KUNAKOTUKUKA Akina Nifah, Mussolin5, UncleBen Na kadoda11. Salute Kwako Comrade!
 
mkuu umetisha ila hilo nondo sio mchezo mkuu
 
Salute Pia Comrade!

Nimepita pale miaka kadhaa sasa nakumbuka mengi sana na siwezi kuyasahau kirahisi hahahah nilikua nakurushia madongo pia ila nilipogundua kua na wewe ulipita katika kujenga jiji la BWANA nikasitisha lile zoezi.

Wabarikiwe sana wataaluma wa pale wanafanya kila njia kuhakikisha vijana wanajengwa katika misingi na maadili mema ya kumpendeza Mungu.

Hua napanga ipo siku nitarudi pale kushangaa mabadiliko na tofauti ya sasa na miaka ile najua utakua unakumbuka pia yale magogo ya moto katikati ya uwanja kabla ya kuanza muhula mpya wa masomo!
 
Kama Unataka Habari Tegea Mimacho Yako TBC1 Na ITV Ila Kwa Sisi Wadau Wa Clouds Tv Hasa 360 Tunakipenda Kwakuwa Pale Tunapata Kitu Kiitwacho Kitaalam INFOTAINMENT. Na Pengine Nikuibie Tu SIRI Hicho Kipindi Kinatazamwa Na Watanzania Wengi Kuliko Hata Wale Wanaoangalia Parliamentary Sessions. Katika Journalism Hasa BROADCASTING Kuna Kitu Kimoja Kinaitwa " KISS " Kikimaanisha " Keep It Simple But Stupid " Ikimaainisha Katika Utangazaji Wa Leo Ambao Dunia Imebadilika Na Watu Wapo Busy Na Maisha Unatakiwa Kuwa MBUNIFU Kwa Kuandaa KIPINDI Ambacho Hata Kama Ni Cha Kuhabarisha au Kuwafahamisha Watu Basi Kifanye Kiwe Chepesi Tu Halafu Unaweka Kidogo Mzaha Mzaha Ili Kutomfanya Msikilizaji au Mtazamaji Aboreke. Ila Mbinu Hiyo Ya KISS Haitumiki Katika News Bulletin. Mfano Mzuri Tu Wa KIUHALISIA Ambao Naamini Hata Wewe Umeshakutana Nao Ni Kwamba Hata Mashuleni au Vyuo Vikuu Walimu au Wahadhiri Ambao Wako Very SOBER Wanafunzi Huwa HAWAWAELEWI Katika UFUNDISHAJI Wao Na HUFELI Pia MASOMO Yao Lakini Jaribu Kuulizia Mwalimu au Mhadhiri Ambae Yupo SIMPLE Na Ambaye Hupenda Sana KUCHEKESHA Wanafunzi Wake Na Kuingiza UKOMEDI Kidogo Wa Hapa Na Pale Kwanza Hilo Darasa Muda Wote Litakuwa LINACHANGAMKA Halafu Huyo Mwalimu au Mkufunzi Atakuwa ANAPENDWA Na Hata Wale Ambao Walikuwa WATORO au WATUKUTU Wa KUTUKUKA Lakini Pia Amini Usiamini Hata UELEWA Na UFAULU Wa Hao Wanaofundishwa Utakuwa Juu.
Kwani.mi nimebisha ndugu?! Upo sahihi naomba uishie hapo hapo kama hujaeleweka basi ambaye hajakuelewa atakuwa na shida huyo.

Mazingira ya kipindi na Style ya utoaji habari. Mkuu umegonga penyewe mi cna neno hapa.
 
Mkuu GENTAMYCINE hapa umetisha sana

Japo kiukweli hizi nondo ni za mass communication ya pale malimbe umenifanya nikumbuke main, nyamalango,sweya nganza na mitaa kibao

Na mbwembwe za Mass Com,Baso na Pr kwenye fawasco
Alichoeleza huyu jamaa ni utaalamu so kama mtu amekariri kama mtoa uzi hawez kumuelewa.
Mi nimependa hii sana tupeane mafunzo tufunzane.
 
Hahha Mnyasa wapi ?? Mimi masai bana nasema mimi Masai ,tamaduni yenye ngufu iliyobaki Afirika
Haaaaaa!Kumbe ndio maana una akili namna hiyo?Nimefurahi sana maana wewe ni ndugu yangu kabisa,na kuanzia leo nitakuwa nakupenda kulikotukuka.
Najua hili litamuuma sana popoma GENTAMYCINE lakini hakuna namna tena......tena tutakuwa tunamnyoosha vilivyo akileta upopoma wake....lol
 
Hahahah aisee ndio hivyo mama GENTAMYCINE hawezi kuleta upopoma wake hapa tushakua kama kambale kila mtu ana ndevu ,ila nikiri wazi mpaka kufanikiwa kuwa kwenye league moja na hili ndugu lako ilikua kazi ,
 
Wagombanao Ndiyo Wapatanao Mkuu. Nakupenda Sana Comrade UncleBen Kwani Nimegundua Una AKILI Za Kitutsi Na Kiyahudi Kama Mimi Japo Uko Chama Kile Cha " CHOROKO ". Ila Mkuu Hata Nifah Kapata SHURUBA Mno Na Mimi Na Hatimaye Leo Ni MARAFIKI WAZURI WA KUTUKUKA. Kifupi Nikuibie Tu SIRI Ambayo NIKIRI Wazi Kuwa Hii Mbinu Humu JF Ni Wewe Tu Uliyeigundua Ambapo Huwa Napenda KUMCHOKONOA Mtu Halafu Nione Ataniogopa au Ataendeleza Ligi Na Mimi Na Nikiona Kuwa Bado Unapambana Na Mimi Huwa NAFURAHI Mno Na Naanza Kuamini Kuwa Sasa Nina JEMBE. Huwezi Amini Mkuu Kuanzia Wewe, Bidada Huyo Niliyemtaja Hapo, FaizaFoxy, miss chagga Na Mussolin5 Bila Kumsahau Rafiki Yangu Ambaye Mara Ya Mwisho TULICHARURANA Humu Na AKAUFYATA Kabisa Kwangu kadoda11 Wote Nyie TUMESHAPIGANA MABITI SANA Humu Na Leo TUNAPENDANA Tu. Mimi Huwa Napenda Tu KUMPIGA Mtu MKWARA Mkuu Ila Ni Mtu Mmoja Safi Sana Na Nisikufiche Napenda Mno UTANI Na Kuwaburudisha Watu Kwa UKOMEDI Wangu Japo Sometimes Huwa Nagonga Penyewe! Kwa Niaba Yako Kama Kuna Member Yoyote Nilishamkwaza Kwa UPOPOMA Wangu USIOTUKUKA Naomba Wanisamehe Ila Nawapenda Members Wote Wa JF Aminini Hivyo.
 
Hahahah aisee ndio hivyo mama GENTAMYCINE hawezi kuleta upopoma wake hapa tushakua kama kambale kila mtu ana ndevu ,ila nikiri wazi mpaka kufanikiwa kuwa kwenye league moja na hili ndugu lako ilikua kazi ,
Si bora wewe mkuu?Niulize mimi niliyetukanwa vibaya sana na mbaya zaidi hata sikuwa nimemkosea!
Nilikasirika lakini guess what?Niliamua kukaa kimya na kulike matusi yake......
Laiti kama ningeamua kujibu mapigo basi amini nakuambia ingekuwa vita ambayo haijawahi kutokea.
Ila namjua popoma,hanaga kiburi tuliyamaliza na hadi sasa tuko poa sana.
Ila mnyonge tumnyonge na haki yake tumpe,nampenda na kumkubali sana popoma,uwepo wake JF ni burudani tosha kwangu.
 
Hahah vita yako na hili ndugu yako nakumbuka ilikua wakati wa uchaguzi dah aisee ,akiwa na ndugu yake mwingine anaitwa Duppy nini sijui avatar yake ina Ak- 47 ,popoma hana shida ana roho yake nyeupe sema shida ni makuzi ya uswahilini halafu anatudanganya Mnyarwanda
Ila ni bonge moja la Entertainer
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom