Ushauri: Chuki ubaya iliyopandikizwa katika familia yetu dhidi ya ndugu wetu wengine katika ukoo

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,717
Reaction score
4,295
Habari wakuu najambo nataka kushare nanyi mnipe uzoefu na ushauri

Nina Babu yangu ambae anakua nimjomba wa baba ana Umri wa miaka77,huyu Babu yangu anawatoto walio hai 6 kati ya watoto8 alio kuwa nao ... watoto wake mwenye Umri mdoggo wamwisho anaumri wa miaka36,,huyu

Babu yangu mkewe hawa watoto walitalikiana miaka mingi ila nimarrehemu kwa Sasa,

Baba yangu alivotalikiana akaja kuoa mwaka1990 na pia mke wa pili wakatalikiana 2016 ,,,hapo Babu akiwa Umri wamiaka 67 akawa anaishi mwenyewe, watoto wake wote hakuna hata mmoja alieonyesha kuwa atamchukua baba Yao wakaishi nae au kumtafutia mtu wakukaa nae

Baba yangu ambae kwake anakua mjomba akamchukua kuja kuishi nae kwake kaaa nae takribani miaka 9 akimhudumia kwa Kila kitu Huku watoto wake Babu Wakiwa hawana msaada wowote na wanamiasha Yao na familia zao

Sasa huyo huyo Babu yangu tumemchukua kwenda kufanya checkup kwawatoto wake baada yakua na bima kubwa ila hakuwahi kuitumia tukaona tumpeleke huko afanye checkup ya afya,,Sasa huyu Babu yangu ana asili ya uwongo mwingi,Sasa huko alipofika kawajaza maneno ya uwongo na watoto wake asili Yao hiyo hiyo uwongo , kiasi watoto wameungana na baba Yao

Sasa watoto wake wote ,ambao wote ni watu wazuma wametutangazia chuki na ubaya kwao wote na kwandugu wengine na wamemzuia Baba Yao kurudi baada yakuona tayar anabima hawatapata shida kumuuguza

Wakuu mnadeal vipi na nandugu,ndugu wa namna hii niwakuachana nao kuvunja udugu au kuwapotezea kudeal maisha mengine?
 
Usivunje undugu..kuwa busy na mambo yako..usitende mema kwa matarajio ya kupata shukrani bali kwa matarajio Mungu atakulipa jitahid sana kupambania mambo yako ila mtu asikuingilie kwenye maisha yako hapo usimuache.
 
n
Habari wakuu najambo nataka kushare nanyi mnipe uzoefu na ushauri

Nina Babu yangu ambae anakua nimjomba wa baba ana Umri wa miaka77,huyu Babu yangu anawatoto walio hai 6 kati ya watoto8 alio kuwa nao ... watoto wake mwenye Umri mdoggo wamwisho anaumri wa miaka36,,huyu

Babu yangu mkewe hawa watoto walitalikiana miaka mingi ila nimarrehemu kwa Sasa,

Baba yangu alivotalikiana akaja kuoa mwaka1990 na pia mke wa pili wakatalikiana 2016 ,,,hapo Babu akiwa Umri wamiaka 67 akawa anaishi mwenyewe, watoto wake wote hakuna hata mmoja alieonyesha kuwa atamchukua baba Yao wakaishi nae au kumtafutia mtu wakukaa nae

Baba yangu ambae kwake anakua mjomba akamchukua kuja kuishi nae kwake kaaa nae takribani miaka 9 akimhudumia kwa Kila kitu Huku watoto wake Babu Wakiwa hawana msaada wowote na wanamiasha Yao na familia zao

Sasa huyo huyo Babu yangu tumemchukua kwenda kufanya checkup kwawatoto wake baada yakua na bima kubwa ila hakuwahi kuitumia tukaona tumpeleke huko afanye checkup ya afya,,Sasa huyu Babu yangu ana asili ya uwongo mwingi,Sasa huko alipofika kawajaza maneno ya uwongo na watoto wake asili Yao hiyo hiyo uwongo , kiasi watoto wameungana na baba Yao

Sasa watoto wake wote ,ambao wote ni watu wazuma wametutangazia chuki na ubaya kwao wote na kwandugu wengine na wamemzuia Baba Yao kurudi baada yakuona tayar anabima hawatapata shida kumuuguza

Wakuu mnadeal vipi na nandugu,ndugu wa namna hii niwakuachana nao kuvunja udugu au kuwapotezea kudeal maisha mengini k

wapotezeeni tu, watu hawawalishi hawawavishi msijishughulishe nao
 
I think n jambo la kushukuru, ukozingatia huyo n muongo muongo as u said.
Kuna uwezekano mmeepushiwa zigo la misumari, kwa sababu bimq n ya matibabu lakini sio ya matunzo.
Hatumuombei mabaya lakn anaweza kupigwa shuti moja na hapo hao waliomng'ang'ania baada ya maneno ndo wataanza kuionja joto ya jiwe.
I call it good riddance.
Amnyimae punda ndesi...
 
Unataka kudeal nao ili upate nini, punguza mazoea nao ishi maisha yako
 
Mnataka kungoja shukrani!!!??hamuipati ngoo sepeni!
 
Back
Top Bottom