Ushauri: Bora Rais ange-mute kwanza kumtumbuwa Makalla maana amewasha moto

Lazima uelewe maana halisi iliyobebwa na jina la chama chenyewe Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mapinduzi yamejengwa katika misingi ya kukiboresha chama katika harakati zake za kuleta maendeleo kwa wanachama na watanzania wote na waafrika wote (kama utakuwa makini) kwa ujumla. Uboreshaji huu uambatana na kujitathmini ya namna kinavyoendesha harakati zake kwa kuwakagua 'wahusika' katika uendeshaji huo. Chama kikiona kuna sehemu kunahitajika maboresho, dhana ya mapinduzi utumika. Chama kina mfumo imara. Bila kuwa na mfumo huo tusingekuwa na Tanzania ya sasa iliyothabiti kisiasa. Chama kinajali maslahi ya watanzania wote si ya mtanzania mmoja dhidi ya watanzania wengi....!

Upo lakini mleta mada ama umekimbia uzi wako? Ha ha haaa
 
Kwa unavyomuona mwenyekiti wako n kwel unadhan huwa anarudi nyuma
Au unadhan kuna mtu atakayefurukuta

Mind u
Kina Safar Ya Matumain wameomba pooo wnyw

 
Mkuu
Mi si shabik wa chama chochote
But kwa Africa, CCM imekita mizizi kitaasis mno,inahitaji upinzan wenye mfumo wa kitaasisi zaid ili kuing'oa
Ili tamaa yako itimie.
Karibia mamilioni ya wananchi wanatamani hilo lichama lenu lianguke hata kesho ndio furaha yetu. Wacha muvurugane wenyewe. Vita vya panzi furaha ya kunguru
 
CCM hapo awali ilikuwa na viongozi wabovu sana wanaendesha chama kwa mazoea na Ufisadi uliokubuhu.Acheni magufuli anyooshe Nchi
 
Sisi inatuhusu nini na takataka lako la majuha??
 
Watu wa aina yako mleta mada ndyo mnaleta doa ndani ya chama... Hicho chama siyo cha watu flani unao dhani bila wao mambo hayaendi.

kwa taarifa yako watu Km hao inabidi waondoke, chama kibaki na watu wasafi na wenye weredi wasiotegemea, kufanya kazi ili wapate fadhira za uongozi..
kaulize NAPE hadi sasa kafika wapi?
 
Makala hana madhara yoyote labda akapeleke hayo madhara kwa mke wake kama yapo.
 
makala mtu mdogo sana nchi hii hawezi kutusumbua bwana,,yeye arudi akalime tu
 
Ndio itasababisha tule Milo m3 viwanda kujengwa na mazingira mazuri ya vijana kujiajiri na uchumi wa nchi kukua zaidi au mimi ndio sijamuelewa mtoa mada
 
Karibia mamilioni ya wananchi wanatamani hilo lichama lenu lianguke hata kesho ndio furaha yetu. Wacha muvurugane wenyewe. Vita vya panzi furaha ya kunguru
Karibia..kumbe hawajafika hata million.
 
Kama Magufuli asingekuwa mkali na kuwatoa viongozi wanaokalia vyeo kwa mazowea, asingeliweza kabisa kuleta mabadiliko yanayoonekana sasa kwenye serikali na idara zake. Kama kweli unalipenda taifa lako bila kujali maslahi binafsi lazima utaliona hilo.
 
huyo makala ni MTU mdogo sana hawezi kuleta mtikisiko wakihivyo hata asipopangiwa kazi nyingine, na Mimi nimuombe rais asimpangie kazi nyingine tuone😬😬
 
Kiufupi katika chama Amosi Makalla ni mtu na nusu kwa waliopo ndani ndo wanalijua hilo. ..Let stay tune
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…