Mimi kwa mtazamo wangu naona kitendo cha mkuu wetu wa chama na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania ange mute kumtenguwa mh Makala, then akamtumbuwa baadae baada ya vuguvugu linaendelea kutulia. Kwawanao mjuwa Mh Makala watakubaliana na mimi Rais ameenda kujitengezea fukuto kali ndani ya chama ambapo hata afanye nini litamuacha akiwa na vita kali ndani ya chama hasa tukizingatia ndani ya chama kuna kundi fulani limeshaona lina angamizwa silence japo wenyewe kwa wenyewe wameshajuwa wapo kwenye List. Na kwa wale wanajuwa maswala ya kiinteligensia anaweza kubaliana na mimi kuwa ni hatari sana adui kujuwa kuwa yeye ndie anaye fuwata maana atakusumbuwa sana na hasa akiwa kwenye mfumo.
Kitisho kina ikabili ccm ni makundi na makundi haya hayajawahi muacha Rais yeyote mstaafu salama ndio maana mnaweza kumlaumu sana Mstaafu Rais Kikwete ktk uendeshaji wa chama ila mnaweza kukubaliana na mimi alikuwa very smart kuepuka makundi kumraruwa na yeye kukosa nguvu ndani ya Makundi hivyo tabasamu lake na kicheko chake kili wapoteza sana mpaka alipo weka shoka shingoni na mti akaukata. Wakapiga kelele yeye akaka pembeni akawaacha wapigane masingi then akarudi na kuwasuluhisha while nyuma ya pazia yeye ndie mastar plan.
Kipindi hiki ni tofauti watu fulani wameshajuwa wao nifungu la kukosa ila wapo ambao wanajuwana na wapo wasio juwana ila wanajuwa wapo team moja sasa hawa kwakujuwa mkuu anawakata shingo kwenye serikali kwa kuwanyima fursa wamegeuka na kuwa na muungano ambao mimi naweza sema ni hatari kuliko yote na hapa ndipo nataka kusema nilazima mkuu aliangalie hili kwa makini maana mtu mnafiki ni vigumu kumjuwa mpaka awe amekutia matatizoni. sio siri wapo mapandikizi amabo mkuu hawajuwi na hawa ndio watamsumbuwa maana wakati wakiwa ndani watatengeneza mtatndao kumdhibiti mbaya zaidi mtikisiko huwo utakuwa mkubwa sana anapoiendea term ya mwisho.
kwahiyo ningeshauri mh rais awe makiini sana asiwe na watu ila awe peke yake na team ndogo ya wataalamu kuweza kutawala chama maana nje ya hapo naona anajitengenezea picha itamtisha mwenyewe jambo ni hatari sana kwake binafsi na chama.
Huyu Makala ambaye amemuona ni staiki yake huyu anaweza kuwa chanzo cha uchungu ndani ya chama na safari mpya ya makundi makali ndani ya chama ambapo asipo angalia watamtesa. Labda uniambie ile tetesi anataka kumpa kazi nyingine maalumu iwe kweli nje y hapo sisi waona mbali tuna sema let stay tune.
huu ni mtazamo wangu na maoni sio vingine.