Ushauri: Bora Rais ange-mute kwanza kumtumbuwa Makalla maana amewasha moto

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,175
11,177
Mimi kwa mtazamo wangu naona kitendo cha mkuu wetu wa chama na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania ange mute kumtenguwa mh Makala, then akamtumbuwa baadae baada ya vuguvugu linaendelea kutulia.

Kwa wanaomjus Makalla, watakubaliana na mimi Rais ameenda kujitengezea fukuto kali ndani ya chama ambapo hata afanye nini litamuacha akiwa na vita kali ndani ya chama hasa tukizingatia ndani ya chama kuna kundi fulani limeshaona linaangamizwa silence japo wenyewe kwa wenyewe wameshajua wapo kwenye List. Na kwa wale wanaojua masuala ya kiinteligensia wanaweza kubaliana na mimi kuwa ni hatari sana adui kujua kuwa yeye ndie anayefuata maana atakusumbua sana na hasa akiwa kwenye mfumo.

Kitisho kina ikabili CCM ni makundi na makundi haya hayajawahi muacha Rais yeyote mstaafu salama ndio maana mnaweza kumlaumu sana Mstaafu Rais Kikwete ktk uendeshaji wa chama ila mnaweza kukubaliana na mimi alikuwa very smart kuepuka makundi kumraruwa na yeye kukosa nguvu ndani ya Makundi hivyo tabasamu lake na kicheko chake kili wapoteza sana mpaka alipo weka shoka shingoni na mti akaukata. Wakapiga kelele yeye akaka pembeni akawaacha wapigane masingi then akarudi na kuwasuluhisha while nyuma ya pazia yeye ndie mastar plan.

Kipindi hiki ni tofauti watu fulani wameshajuwa wao ni fungu la kukosa ila wapo ambao wanajuwana na wapo wasio juwana ila wanajuwa wapo team moja sasa hawa kwakujuwa mkuu anawakata shingo kwenye serikali kwa kuwanyima fursa wamegeuka na kuwa na muungano ambao mimi naweza sema ni hatari kuliko yote na hapa ndipo nataka kusema nilazima mkuu aliangalie hili kwa makini maana mtu mnafiki ni vigumu kumjuwa mpaka awe amekutia matatizoni. sio siri wapo mapandikizi amabo mkuu hawajuwi na hawa ndio watamsumbuwa maana wakati wakiwa ndani watatengeneza mtatndao kumdhibiti mbaya zaidi mtikisiko huwo utakuwa mkubwa sana anapoiendea term ya mwisho.

Kwahiyo ningeshauri mh rais awe makiini sana asiwe na watu ila awe peke yake na team ndogo ya wataalamu kuweza kutawala chama maana nje ya hapo naona anajitengenezea picha itamtisha mwenyewe jambo ni hatari sana kwake binafsi na chama.

Huyu Makalla ambaye amemuona ni stahiki yake anaweza kuwa chanzo cha uchungu ndani ya chama na safari mpya ya makundi makali ndani ya chama ambapo asipo angalia watamtesa.

Labda uniambie ile tetesi kuwa anataka kumpa kazi nyingine maalumu iwe kweli, nje ya hapo sisi waona mbali tuna sema let stay tune.
huu ni mtazamo wangu na maoni sio vingine.
 
ukiwa na maono huwezi kubali ccm ivurugike muda huu
Karibia mamilioni ya wananchi wanatamani hilo lichama lenu lianguke hata kesho ndio furaha yetu. Wacha muvurugane wenyewe. Vita vya panzi furaha ya kunguru
 
Maamuzi ya Rais linapokuja suala na kuteua na kutengua uwa ni ngumu kuyahoji kwa sabau vigezo vya kuteua na kutengua ni vyake mwenyewe.

Rais Magufuli ni kiongozi ambaye anataka kuona matokeo makubwa , na yeyoye atakayekwamisha upatikanaji wa matokeo hayo si rahisi kumvumilia.

Ni bora mtu aadhibiwe ili kuondoa maswali mengi kuliko kumwacha maana kutafanya maswali yawe mengi na hivyo kupoteza imani kwa watu wengi.
 
maamuzi ya Rais linapokuja suala na kuteua na kutengua uwa ni ngumu kuyahoji kwa sabau vigezo vya kuteua na kutengua ni vyake mwenyewe.

Rais Magufuli ni kiongozi ambaye anataka kuona matokeo makubwa , na yeyoye atakayekwamisha upatikanaji wa matokeo hayo si rahisi kumvumilia.

Ni bora mtu aadhibiwe ili kuondoa maswali mengi kuliko kumwacha maana kutafanya maswali yawe mengi na hivyo kupoteza imani kwa watu wengi.

Vipi kuhusu Naibu Rais.. a.k.a DAB??? Yeye anamuonyesha matokeo makubwa?? Ndio mfano wa viongozi anaowataka??
 
Hii ni sampuli halisi ya CCM ya leo. Huyu mwandishi wa mada hii ndio kielelezo halisi cha Chama hiki kiongwe barani Afrika.

Watu kama huyu kweli ndio tuwategemee kuleta mageuzi chanya katika maisha ya mTanzania wa kawaida? Hata kujenga hoja tu ieleweke kwake ni shida?

Mwandishi anayo historia ya kuwatakia waTanzania vifo na mateso. Sasa tutegemee hali hiyo huko huko ndani ya CCM?

Kijumla jumla, ninavyoijua historia ya Makala ni nzuri, hasa alipokuwa mbunge. Haya yanayomtokea sasa hivi ni hadithi zenu wenyewe huko huko ndani ya chama chenu. Chama sasa hivi ni kasha tu analolitumia Mwenyekiti kufanya anavyotaka. Hakuna kati yenu mwenye mgongo wa kusimamama na kutoa fyokofyoko mbele yake.

Hizi hadithi unazoleta hapa ni porojo tu kujifurahisha huku.
 
Un
Mimi kwa mtazamo wangu naona kitendo cha mkuu wetu wa chama na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania ange mute kumtenguwa mh Makala, then akamtumbuwa baadae baada ya vuguvugu linaendelea kutulia. Kwawanao mjuwa Mh Makala watakubaliana na mimi Rais ameenda kujitengezea fukuto kali ndani ya chama ambapo hata afanye nini litamuacha akiwa na vita kali ndani ya chama hasa tukizingatia ndani ya chama kuna kundi fulani limeshaona lina angamizwa silence japo wenyewe kwa wenyewe wameshajuwa wapo kwenye List. Na kwa wale wanajuwa maswala ya kiinteligensia anaweza kubaliana na mimi kuwa ni hatari sana adui kujuwa kuwa yeye ndie anaye fuwata maana atakusumbuwa sana na hasa akiwa kwenye mfumo.

Kitisho kina ikabili ccm ni makundi na makundi haya hayajawahi muacha Rais yeyote mstaafu salama ndio maana mnaweza kumlaumu sana Mstaafu Rais Kikwete ktk uendeshaji wa chama ila mnaweza kukubaliana na mimi alikuwa very smart kuepuka makundi kumraruwa na yeye kukosa nguvu ndani ya Makundi hivyo tabasamu lake na kicheko chake kili wapoteza sana mpaka alipo weka shoka shingoni na mti akaukata. Wakapiga kelele yeye akaka pembeni akawaacha wapigane masingi then akarudi na kuwasuluhisha while nyuma ya pazia yeye ndie mastar plan.

Kipindi hiki ni tofauti watu fulani wameshajuwa wao nifungu la kukosa ila wapo ambao wanajuwana na wapo wasio juwana ila wanajuwa wapo team moja sasa hawa kwakujuwa mkuu anawakata shingo kwenye serikali kwa kuwanyima fursa wamegeuka na kuwa na muungano ambao mimi naweza sema ni hatari kuliko yote na hapa ndipo nataka kusema nilazima mkuu aliangalie hili kwa makini maana mtu mnafiki ni vigumu kumjuwa mpaka awe amekutia matatizoni. sio siri wapo mapandikizi amabo mkuu hawajuwi na hawa ndio watamsumbuwa maana wakati wakiwa ndani watatengeneza mtatndao kumdhibiti mbaya zaidi mtikisiko huwo utakuwa mkubwa sana anapoiendea term ya mwisho.

kwahiyo ningeshauri mh rais awe makiini sana asiwe na watu ila awe peke yake na team ndogo ya wataalamu kuweza kutawala chama maana nje ya hapo naona anajitengenezea picha itamtisha mwenyewe jambo ni hatari sana kwake binafsi na chama.

Huyu Makala ambaye amemuona ni staiki yake huyu anaweza kuwa chanzo cha uchungu ndani ya chama na safari mpya ya makundi makali ndani ya chama ambapo asipo angalia watamtesa. Labda uniambie ile tetesi anataka kumpa kazi nyingine maalumu iwe kweli nje y hapo sisi waona mbali tuna sema let stay tune.
huu ni mtazamo wangu na maoni sio vingine.
Ushauri wako n nguvu za giza
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom