Kitumburee
Senior Member
- Jan 31, 2012
- 142
- 89
Shukran nitafanya hivyoAngalia Jubilee ni 174,000 kwa mwaka mke, Mme na wategemezi wawili lakini ukitaka kuongeza wengine unalipia 100,000 kwa kila mmoja hii ni kama haijabadilika
Ina cover gharama za MRI?Angalia Jubilee ni 174,000 kwa mwaka mke, Mme na wategemezi wawili lakini ukitaka kuongeza wengine unalipia 100,000 kwa kila mmoja hii ni kama haijabadilika
Ndio lakini kima chake ilikua 400,000 kama haijabadilika kwa sasa
Kama ni mtu mmoja pekee inakuwa kiasi gani?Angalia Jubilee ni 174,000 kwa mwaka mke, Mme na wategemezi wawili lakini ukitaka kuongeza wengine unalipia 100,000 kwa kila mmoja hii ni kama haijabadilika
Jiungeni kwenye vikundi.kheri ya mwaka mpya wadau.
naomba ushauri kwa anaejua bima ya afya ( isiwe ya watoto, ) ambayo ni ya gharama nafuu. nina wategemezi watu wazima wanne ila siwezi kumudu ile ya NHIF ya 1.5Mil
shukran
Kuwa na bima sio shida,,,,tunahitaji kujua hizo CHF muhimbili na Benjamin mkapa hospital zinapokelewa? Au ndo zinaiishia kwenye zahanati na vituo vya afya?Serikali imeanza kutoa bima ya CHF iliyoboreshwa kwa ajili ya matibabu ya wananchi wake hususani walio kwenye ajira isiyo rasmi au wajasiriamali. Nadhani ilikuwa na gharama ya elfu 50 kwa mwaka na 160,000 kwa familia ya watu wanne kama sikosei.
Hizo bima zinapokelewa kwenye vituo vya afya vya serikali.Kuwa na bima sio shida,,,,tunahitaji kujua hizo CHF muhimbili na Benjamin mkapa hospital zinapokelewa???? Au ndo zinaiishia kwenye zahanati na vituo vya afya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali imeanza kutoa bima ya CHF iliyoboreshwa kwa ajili ya matibabu ya wananchi wake hususani walio kwenye ajira isiyo rasmi au wajasiriamali. Nadhani ilikuwa na gharama ya elfu 50 kwa mwaka na 160,000 kwa familia ya watu wanne kama sikosei.
Elfu 30
Baba mama na watoto wanne