thanks kwa ushauri, nataka kuuza ya dukaYa mtumba au?kama NI ya dukani utabidi uwe sehemu yenye kuchangamka.coz hayachelewi kukuharibikia hayo ya shop
OK jipange naijua vizuri ila tatizo LA za shop hazichelewi kukushangaathanks kwa ushauri, nataka kuuza ya duka
faida zake zipoje mkuuOK jipange naijua vizuri ila tatizo LA za shop hazichelewi kukushangaa
good idea mkuu ntalifanyia kaziHapa nawaza mkuu, kama umeamua kufanya biashara ya kuuza mabegi, ukaweka na viatu, vya watu wazima mpaka watoto.
Hapo sasa nawaza, kama una hela za ziada zaidi, unaweka na mikanda aina zote Quality kabisa.
Kama uko sehemu fresh utapiga hela coz ww ndio mpanga bei..kwa siku kama utauza 5 tofauti tofauti una kama profit ya 20000+faida zake zipoje mkuu
Mtaji wako ni kiasi gani?Salaam waungwana, ndugu zangu nina wazo la kutaka kufungua biashara ya kuuza mabegi aina zote yaani mabegi makubwa ya nguo, saizi ya kati, ya mgongoni na hand bags za wadada. naomba mnisaidie mawazo kwenye mambo yafuatayo:-
- Chimbo la kupata mabegi makubwa yale ya nguo kwa jumla hapa dar ikiwezekana na wastani wa bei zake.
- Makadirio ya chini ya kima cha mtaji.
Haya haya biowang ya China huwa yansharibika?hata kabla hujauzaOK jipange naijua vizuri ila tatizo LA za shop hazichelewi kukushangaa
Mwifa machimbo yapo wapi,je haya mabegi fashion ya Siku hizi biowang nayo mabovu,je mtaji laki 5 unafanya biashara hiiMtaji wako ni kiasi gani?
Sio mzoefu kwenye hizi anga, ila angetaja mtaji wadau wangempa muongozo mzuriMwifa machimbo yapo wapi,je haya mabegi fashion ya Siku hizi biowang nayo mabovu,je mtaji laki 5 unafanya biashara hii
Sent using Jamii Forums mobile app
1m mkuuMtaji wako ni kiasi gani?