Mkuu hiyo biashara ndiyo ya uhakika, na hasa kwenye miji mikubwa dar, arusha, mwz, mbeya na pia sehemu maalumu zenye mahitaji hayo migodi, mtwara gas kwa mikataba maalumu na makampuni husika kuwalenga wafanyakazi wao kununua n.k. natafuta watu wa kufanya research kutafuta ni wapi hasa demand ni kubwa na pia uwezo wa wateja na nyumba aina gani zinawafaa n.k.