Ushauri between HGL ama C.O

sasa ilkuaje ukalamba F ya number? da! inasikitisha yaan hilo banda la bios uliache alaf uende HGL kwel! na nguv zote ulizotumia ktk hilo somo ila kiukwel ungapata D ya hilo somo CBG ingekuhu pia ongera sana kwa kufauru cha muhimu omba mung tena unapata diploma
asante mr hassan
 
Co huendi na ukipita njia za panya utakuja kujuta nenda advance Mkuu f ya hesabu competition ni kubwa kama unataka utapeliwe wafuate hao wanavyokupa moyo et aku pm haha
 
ushaur ndug ww nenda advance huku unasikilizia matokeo na yakiwa poa unaachana advance unarud co
 
Habari zenu wana jamvi
Me ni mhitimu wa Form 4 2015
Niliapply Chuo Clinical Officer C.O
But post za shule zimetoka nimechaguliwa HGL Tabora Boys High School
Matokeo yangu; Phy-D Chem-C Bios-A Geog-A Hist-B English-A Maths-F Kisw-C Civics-C
naombeni ushauri aidha nikakomae advance na HGL ama Nisubiri selection za chuo C.O
Ushajiita doctor Tareeq inshaAllah ujaliwe uwe mmoja 1day acha hayo mambo ya kubahatisha sijui hgl kapige C/O uje usaidie jamii huku hamna matabibu wa kutosha
 
Co huendi na ukipita njia za panya utakuja kujuta nenda advance Mkuu f ya hesabu competition ni kubwa kama unataka utapeliwe wafuate hao wanavyokupa moyo et aku pm haha
CO anaenda bila tatizo,hiyo F ya math haina tatizo nacte wanataka uwe umefaulu phys,chem,bios tu kuhusu maths na engl ni sifa za ziada tu.
wapo watu wengi tu wanapiga CO/CA uku wakiwa na miswaki ya namba.
Dogo nenda CA then unapiga CO achana na comb za kipumbavu
 
mengi ushaambiwa huko juu sina haja ya kurudia tena achana kabisa ha hgl haitakupeleka mahali siku hislzi sayansi ndo kila kitu hata mkopo watu wa art haqapewi sayansi wanapewa na ajira za art ni ishu jiulize zaidi ya maelf ya wahitimu wA ualimu hawajaajiriwa wameambiwa wasubirie mwakani na serikali kipindi cha pinda ishawahi kutangaza haihitaji walimu wa arts imejitosheleza sheria nako majanga sijui utaendna wapi ndugu.
kwanza una akili hongera matokeo yako vizuri umefanya chaguo safi sana nenda clinical officer usipoteze mda. ukienda advance kama unataka kusomea kozibya afya piga pcb na upate division one ya maana hapo utaweza kwensa udaktari muhimbilo, udsm n.k vyuo vya serikali pprivate dvsion 2 utapata ila ada huiwez hata ukipewa mkopp hawakupi wote million 5 kama ada huweI ndugu yan advance ni kupoteza mda. nilikua na mchi wangi advance alpga two pcb saiv yupo clinical officer chuo hakuongia yan hakupata nafasi kabisa sababu ya ushindani. nipe no yako pm tupige story ntaku Jiu A mengi me now npo chuo na coz yenye kuhitaji pumzi upate ajira.
 
asante bro nmekuelewa
 
poa poa bro
 
CO anaenda bila tatizo,hiyo F ya math haina tatizo nacte wanataka uwe umefaulu phys,chem,bios tu kuhusu maths na engl ni sifa za ziada tu.
wapo watu wengi tu wanapiga CO/CA uku wakiwa na miswaki ya namba.
Dogo nenda CA then unapiga CO achana na comb za kipumbavu
Labda private lakini government asahau kuna dogoa alipata d ya physics na d ya math na hakuchaguliwa hata nursing government japokuwa alikuwa vizuri masomo mengine
 
Napenda C.O mkubwa
ila nina mashaka naweza nikakataa kwenda advance halafu nisichaguliwe C.O sababu ya F ya Hesabu
Kama lengo ni C.O. ila huna uhakika wa kuchaguliwa just go to Tabora Boys kazugezuge ukichaguliwa C.O unalala mbele ni kusomea kazi yenye uwanda mpana wa ajira na kujiajili hata ukiwa na cheti tu kuliko kwenda kusoma advance tena HGL ambayo inaweza isikupeleke popote zaidi ya kuwa mtaalam wa kusimulia wajukuu jinsi ukoloni ulivyomwathri Mwafrika.
 
Ushauri mzuri nenda tabora boys the kasome PCB au CBG ukabadili pale pale inawezekana ili uje uende degree ya MD direct esy xana
 
Back
Top Bottom