Ushauri: Bed is Everything...

Uonevu wa nini? Aliyekwambia ndoa au mahusiano ya kudumu ni kukata nyonga kama feni atakua kakudanganya
True..
Kuna ile mijimama mikurumbembe mishangingi ya mjini yenyewe yanajiita "makwingwi"
Kwenye kitchen party yanafundisha kukata mauno lakini unakuta yameachika kwenye ndoa zaidi ya 7.

Mahusiano ni kama jengo,limejengwa kwa tofali,nondo,bati,mbao,rangi n.k. ili liitwe jengo ni lazima kuwe na composition ya material iliyolifanya lisimame.

Hayo na kukata mauno kama feni halafu utu sifuri haku garantee kudumu kwenye mahusiano. Labda kama umenuia kucheza pono.
 
Hakika Mkuu!
 
kijana una maneno???? hadi nimejikuta nacheka mie
 
pepa yenyewe iko blank unasupp nini? mwanaume mautundu yake yanakupelekea nawe kujituma mtu hajui chochote anajua kutwanga tu (mnakera) basi unamwelekeza ana haraka utadhan nini cjui waaai npokee sakramenti yangu mie niondoke
 
uanze kumvua,umshushe kidaka,umlazmishe alale kama ugomvi vile,uinue mguu,akwepeshe mdomo,akutoe mkono usishike hapo mwisho abane hata miguu.afu ukitoka hapo eti nitumie 40000 ya lesiwigi
wanafunzi watakuponza kijana! hizi kukuru kakara sio za msichana mtu mzima kabisa
 
Mmmh inategemea na style babu sio kila style mtu akatike. Kujifanya yondo sister mtu ateguke nyonga kisa biringanya 2 au kuna mengine.

Midume yenyewe isiyoridhika[emoji15][emoji15][emoji15]
Style gani unakatika sn?!
 
Labda yanakata sana mauno mpk waume zao wanavunjka nyonga inabidi watoe talaka
 




Prrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrryaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…